WALLET YA KIJANA WA MAREKANI
1:Visa Card
2:Driving License
3:Hela ya matumizi
WALLET YA KIJANA WA TANZANIA
1:ATM card ya NMB
2:ATM card CRDB
3:Kitambulisho cha Taifa
4:Leseni
5:Kadi ya...
Nimeamua kuokoka kwenye kanisa moja jirani na mtaani kwetu, sasa jumapili ya wiki iliyopita mchungaji alizungumzia masuala ya kuoteshwa, juzi tukiwa kwenye maombi nikatangaza nimeoteshwa mke wa...
Sipendagi elimu mimi..!
_*Ivi aliyeanzisha Elimu alifikiria nini jamani*_
_*Maana nakumbuka Yesu alikuwa na wanafunzi wake lakini sikuona ata sehemu moja anawambia Kesho TEST
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Polen na kaz wapendwa
Ingawa nimezoea kuwa nawazodoa na kuwatupia madongo ya hapa na pale lakin leo naomba mnisaidie iv...
Week ijayo nikiwa nafikisha miaka kadhaa ya ndoa yangu ,kiukweli nimewamiss sana wadada club.
Nawamiss sana asee ndoa na majukumu ya familia yamenikaba hasa hii awamu ya tano..ila nikiwa naelekea...
Hebu sikia stori za wapendanao za kushangaza kisha tuambie ipi inakuhusu au umeifurahia zaidi!!
1.mama mkwe mnoko!
Siku moja nilimtembelea mpenzi wangu nyumbani kwao,wazazi wake
Hawakuwepo...
Habari zenu Leo ni weekend.
Wengi time chill tu home wengine wameenda viwanja, wengine wana hang over za jana yaani ilimradi ni weekend. Niende kwenye mada.
Wote sisi ni one familiy hapa JF...
Mwanaume ni Nani?
Mwanamume ni yule ambaye anaenda HOTELINI kwanza na kumuambia Mhudumu wa Hoteli Nikija na DEMU hapa sema "" IMEBAKI CHAI NA MANDAZI TUUU.""...
Ujumbe wa Nanenane 2017
**********************
"wanawake wangeweza kufuga kuku kama wanavyofuga kucha ,tungekuwa mbali sana"
Sent using Jamii Forums mobile app
*Stress ni pale unapokuta kibwana mdogo ambacho hakijaenda Shule kinamahela mpaka kinaumwa,halafu wewe na masters yako unapuyanga mwaka Wa nne,stress zaidi ni pale unapokumbuka ulimwambiaga dogo...
Hapa ni baadhi ya makabila yaombavyo tendo landoa kwa wenza wao!
WAKURYA:Mama Bhoke rara chini ni kurenge!
WAMASAI:Mama yoyo nipe ile kitu namesa mwensake!
WAHAYA:Mama Koku infact njoo...
Chemsha Bongo...
--------------------------------
Inspekta Gamba akiwa anaelekea kazini saa moja asubuhi akakuta kikundi cha watu kando ya mtaro. Kwenda kujionea kunani, akakuta kumbe wamezingira...
Wakuu Kwema? Nimeona ni vema tuelezane yafuatayo kwa upole tu;
1. Kupeleka watoto Shule Wakati uchumi umeshayumba kwa sasa ni kujiumiza..Mpeleke Mtoto Shule utakayoweza kulipa..Pambana na Hali...
Kuna haka katabia ambako nimezoea kukaaona kwenye magroup ya whatsapp kakuwekwa kwenye kikaango ambako muda mwingi Moderator wa mdaharu anakuwa upande wa Muulizwa sasa nakaon ahaka katabia...
Kama ada nipo library,kuna dada kakaa kwe kiti ila alivovaa mapaja yote na nguo za ndani vinaonekana,imebidi nihamie upande mwingine mana nimejikuta badala ya kusoma napiga chabo,hivi hawana macho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.