Ndugu Umeshapata Kikombe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndugu Umeshapata Kikombe

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Buswelu, Mar 16, 2011.

 1. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ndugu ushapata kikombe? Kama shughuli zimekubana;Tuma neno KIKOMBE LOLIONDO kwenda *000# ili uletewa kikombe hapo ulipo. Huduma hii ni kwa lengo la kupunguza msongamano kwa Mch. na kuhakikisha kila Mtanzania anapata matibabu. Huduma hii haitotozwa kodi yoyote.VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA. Ambilikile full uponyaji..
   
 2. NITATOA USHUHUDA

  NITATOA USHUHUDA JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2017
  Joined: Jul 6, 2017
  Messages: 548
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 80
  KWELI WAGONJWA WAPO WENGI
   
Loading...