Nimpendae namwonea aibu, nishaurini nifanyeje jaman! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimpendae namwonea aibu, nishaurini nifanyeje jaman!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Gagurito, Mar 14, 2011.

 1. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  kuna binti fulan hapa kitaani kesha niteka kwa hisia za mapenzi, yan hata hapa niandikapo sms hii picha yake naiona usoni. Mtoto mkalee, mtoto msomi, ana pozi, smile, muelewa wa mambo dah! Nashindwa mwambia nampenda though najua anajua nampenda, nambieni nifanyeje nimmiliki huyu mtoto wadau!
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mh,subiri wataalam wa verse
   
 3. U

  Uswe JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  nipe namba yake ya simu plz!
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Subiri mpaka aje akutongoze mwenyewe....:juggle:
   
 5. n

  ntobistan Member

  #5
  Mar 15, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Achan na mapenz man utakuj kufa na magonjwa ya zinaa.
   
 6. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Umempenda mtoto halafu domo zege, mimi nikipita huko habaki... jitahidi kumwaga sera zako kabla sijazungukia mitaa ya kwenu!!!:A S clock:
   
 7. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Rudia enzi zileeeee! Tongoza kwa barua. Mwandikie umwambie kuwa unampenda lakini unaona haya kumwambia. Unaweza kujaza vionjo vyengine: Nikitembea nakuota, nikilala sipati usingizi, nikishiba siwezi kula :blah::blah::blah:, atakufahamu tu.
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Mar 15, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Muda wako bado haujafika kufanya mambo hayo ya mapenzi maliza shule kwanza utayakuta na utayachoka
   
 9. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,078
  Likes Received: 858
  Trophy Points: 280
  kama unashindw kumwambia basi humpendi!!!!!!!!!! huwezi kumuogopa mtu ambaye unampenda.....
   
 10. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  utajuta kuomba ushauri hku!
   
 11. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #11
  Mar 15, 2011
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hinx usimtishe bwana, cos dats easy kama ameshajua unampenda, mbona hapo mteremko, bt cha muhmu ni kujiamini, cos i blv up to nw anajua unamwogopa kumface, so kwa my own advice, get close to her, try smthn lyk u want to be close 4 sme talk, inshort create a friendly talk out, then akisha kaaa ktk mazoea then dat wil be easy to kick the starting lines,
   
 12. kokudo

  kokudo JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 901
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Jamani hata mimi yuko humu humu jf nimeoteshwa lakini naogopa kumwambia.sijui itakuaje?
   
 13. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  tehetehetehe... Alafu...?
   
 14. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  @kokudo,du uciniache hoi mm teh teh!
   
 15. NITATOA USHUHUDA

  NITATOA USHUHUDA JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2017
  Joined: Jul 6, 2017
  Messages: 548
  Likes Received: 447
  Trophy Points: 80
  MKUU, HIVI WEWE NI hr666
   
Loading...