Mch loliondo na fursa ya utalii wa tiba

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,221
1,788
Kwenye kila jambo mna kusudi,naamini kuwa kuwepo kwa mchungaji Ambikile na uwezo wake wa kutibu magonjwa sugu kwa mitishamba,ni fursa kubwa kwa nchi yetu kujitangaza na kuingiza pesa nyingi za kigeni kwa utalii wa tiba(medical tourism)
Nashauri kwa waziri wa utalii atumie fursa hii ya utalii wa tiba
 
Kama dunia yote imejaa mambumbumbu na watu waliokata tamaa kama Watanzania ..... na atangaze!!!!!!
 
Back
Top Bottom