You will never find my copy... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

You will never find my copy...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Leney, Mar 10, 2011.

 1. L

  Leney JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  First things first.... I MISSED YOU GUYS BAAAD!!!!!! cant even express it.
  Dah nimekuta mabadiliko ya JF Chit-Chat (Uhuru wa ku-chat ndani ya thread) na nimeyapenda...

  Huko nilikokuwa mambo yalikuwa si mambo... ugomvi is inevitable in any relationship, sasa siku ya siku tuko kwenye ugomvi, huyu heart beat wangu kanitolea kali na statement hii hapa..."I am not boasting, but go anywhere all over the world you will never find my copy"

  mmmmhhhh... tulikuwa tunaexchange emails, so ilibidi kwanza nisiijibu...nikawa najiuliza...hivi kuna mtu hapa duniani mwenye copy??? hata kama ana tabia mbaya??? we are all originals, right? Okay, swali la pili, jamani mzuri anatamba na kujisifia??? si anasifiwa?? si mimi ndo natakiwa nimwambie kuwa "I have gone east, west, I havent found any one like you"...na sio kama haambiwi..every second jamani, na anakimwanya flani cha pembeni so huwa napenda kum-tease namwambia mi peke yangu niliwahi nikapata handsome, wengine wote walichelewa... I love to appreciate him...sasa hii yote inatoka wapi??? mmmhhh..kisa kuna kitu mtu kafanya halafu uka-m-confront...wakati yeye hataki kuwa confronted....

  Nikautafakari ule wimbo wa P square...No one like you (http://www.youtube.com/watch?v=1_t8tBrZuqo&feature=related)... inabidi basi ubadilishwe uwe..."NO ONE LIKE ME".. kama issue ni kujisifia... watu tujisifie vizuri.

  Jamani sasa mapenzi gani ya wewe ukikosea usiulizwe?? just because there is no one like you??? Jamani au mimi nakosea, you aint supposed to confront a man?? maana iwe kwa upole, kwa ukali, kwa tabasamu, kwa hasira, yani hupati majibu...
   
 2. L

  Leney JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Eh
  Oh yeah eh eh eh eh [x4]
  No one like ME
  One like ME
  Oh yeah e e e e
  No one like ME
  No one, no one

  Hello
  How you doing
  baby, am your one and only
  The only one that you should be missing
  You know, that You love me and you can't wait for me to say 'I do'
  But before we walk down the aisle, I just wanna let you know that
  I am the finest ahhhhh
  Na I will be the finest being U've seen
  Am the brightest ahhhhh
  The way I shine... I make you bling like me
  AM the highest ahhhhh
  When it comes to rating I am the lead
  Am ur princess ur only one no other
  Boy I just wanna let you know that

  No one be like ME
  Try to go different places, and see many faces
  No one be like ME
  So they cannot replace ME, coz am a blessing
  No one be like ME
  I should be driving you crazy coz am ur baby
  No one be like ME
  No one

  So many things [X2]
  Everything
  Without ME
  There's no possibility
  There's no positivity
  Always negativity
  Thank god you found me eh
  I am ur everything
  I am destiny
  This is reality
  Yeaaah
  Oh yeaeaeaeaeaeaeahhhhhhhhh [X4]

  About a year ago before you met me
  Boy there was no possibility for you to be rescued
  But thank God you found ME boy
  You cannot do without ME
  Boy am your life.....

  THIS IS HOW PEOPLE WANT IT TO BE...heheheh
   
 3. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  leney karibu tena nimefurahi kukuona,,,ukweli hakuna mtu mwenye copy popote orijino inabaki kuwa hivyo,hapo kny kusifiwa kila binadamu anapenda sifa na usishangae huyo mpendwa wako pia kujisifia mwenyewe kwani wakati mwingine unaweza kusubiri kusifiwa na watu na usisifiwe so ni vzr pia kujisifia pale unapotamani kufanya hivyo hiyo ni high self esteem pia.
   
 4. L

  Leney JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mi nilivoingia hum leo cha kwanza ilikua kulitafuta hilo tabasamu.... Thank God umenitunzia... utapata zawadi mpenzi,

  Kuhusu huyu pipi moyo wangu, yea we are all originals hamna kopi, hujakosea kabisa, ila mi nilidhani mimi nikimsifia ndo it gets perfect.... au labda angejisifia kimoyomoyo...eeehhh nilichoka, mimi niliichukulia kama vile yeye anaona he is the best the world has ever received... so mimi niamue kusuka au kunyoa...LOL

  Hapo kwenye purple...Ur perspective is so positive, I like it.... And thats why ur the wise one...
   
 5. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hahaha!as for smile i promised,and i always keeps my promise,ntasema na babu atunge shairi la welcome back leney,,,,,kweli kujisifia sana inachosha sipendi saana iz lyk anataka umuone wa juu na kuwa ww kuwa nae ni favour,,kujisifu kuwe kwa kiasi na ww msifie pale inapobidi mpenzi,,,vinginevyo nasubiri zawadi sasa:))
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,047
  Likes Received: 24,047
  Trophy Points: 280
  Leney,

  Ngoja nikapige mswaki afu nije nichangie kwenye hii yuziful sred.

  Babu missed you vibaya.:rain:
   
 7. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  heshima kwako odm ,,kwanza bora umekuja,kumbuka leney alivyotuchosha hadi ukamtungia shairi!sasa mletee welcome back basi ili tumpokee tena
   
 8. L

  Leney JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Babu you know my love for you is growing and maturing minute by minute, Leney now cannot do without Babu...its that bad!!!
  Cant wait for ze mchango, me missed you much more...infankt, me is missing you right now!!!:wink2:
   
 9. L

  Leney JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Thanks for keeping ur promise..sio wote wanafanya hivi... hivi unajua yale mashairi ya Babu niliyaprint nimeyabandika hapa chumbani kwangu huwa nikiyasoma nasmile tu...LOL

  Yea, mimi nadhani kama mtu anakupenda na kukusifia, haina haja ya kumwambie duniani kote hakuna kama wewe..maana kama anakupenda na yeye hilo analijua kwamba ur the best. Huyu prince wangu tulishaelewana sema tu hiyo statement hua nikiikumbuka maswali hayaishi kichwani....

  Dhawadi my wiselady unastahili sana tu, tena bonge la surprise, just for you. Its coming all the way to you with so much love...
   
 10. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Welcome Back.

  Mwache ajisifie tu lakini hiyo ya kusema ..."I am not boasting, but go anywhere all over the world you will never find my copy" hapo ndo kachemka ilitakiwa wewe ndo usema maneno hayo.

  Au labda na wewe unamsifia sana ndo maana kichwa kikawa kikubwa.
   
 11. L

  Leney JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Desidii mpenzi thanks kwa kunikaribisha...me missed you loads....

  afadhali na wewe umeona hili, mi nilishtuka kwanza, we utajisifiaje hivo jamani...eehhh... hapana hata kama mtu ukisifiwa, haikupi sababu ya kuanza kumwambia mtu eti duniani kooote, ataenda na atazunguka ila wewe ndo wewe!! its too much...

  sincerely speaking napenda sana utulivu, spendi kurukaruka, labda ameona nimetulia sana, kichwa ndo kikavimba, enewei haya mapenzi hayana formula, ukimtelekeza mtu shida, ukimsifia na kumpa makeo shida, ukiwa tu hapo katikati ile ya nakupenda-sikupendi shida, ukimbeba mgongoni shida, heeeee..... labda Desidii unipe dawa ya mapenzi aisee..nahisi kuchoka!!!!!
   
 12. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Leney mpenzi habari yako binafsi, huyo mupenzi wa kujisifia eti (go anywhere all over the world you will never find my copy") huyo kwa mtazamo wangu mdogo amegundua unampenda sana ndio maana analeta mbwembwe zote hizo. Hata hivyo anza sasa kumuonyesha kwamba unaweza ishi bila yeye na umaanishe ya nini kuumiza roho na watu mmekutana watu wazima bwana? kwani huyo ndio mpenzi wako wa kwanza? kama wa kwanza sawa lakini kama sio wa kwanza jijengee tu kanuni kwamba kama yule nilimpenda tukaachana na nikaumia yakaisha nitashindwaje kwa huyu?

   
 13. L

  Leney JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Maty my dear, mi mzima kwakweli, God is good!!!
  We mzima???
  Thanks mpenzi kwa ushauri... hapo kwenye red, yea, he is my first boyfriend, kwakweli nikifikiria ishu ya kuachana Maty, akili yangu inachoka, maana I really never ever wanted to go beyond this one relationship... labda ndo kinachoniponza... na mimi pia kweli nampenda, ila nilimkubali mwanzo coz alikuwa (na bado pia) ametulia (kwa kiasi cha nijuavyo, maana naweza kuwa nasema ametulia kumbe sivyo)... so nikajua huyu atanifaa nikamkubali, niwe muwazi, nimenza kumpenda kiukweli tulivoanza kuwa wote, baada ya mda wa kumzoea, sasa labda kama unavosema, he thinks may be now everything is about him..... haya mapenzi nayo... yanachanganya sana.....
   
 14. LD

  LD JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Songa mbele mama angu, mpenzi wa kwanza mi nimeshaamua kukubali ni shule. Kama ukitoka hapo salama shukuru Mungu endelea mbele. Usije ukajikuta unapata na mtoto akakuachia signature kabisa.

  Mwanaume mwenye masifa masifa jamani mi hapana.
   
 15. L

  Leney JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Asante dia kwa ushauri!!!!

  Yaani mpaka sa ivi siamini eti its coming to an end... tulielewana, but ndani ya moyo wangu its coming to an end!!! ambacho cha ajabu yani siamini eti this is happening!!! sijawahi kulala hata siku moja nikawaza hivi, hata ile kuota tu... nilijua huyu ni huyu huyu mmoja till I die, sasa I shut my eyes completely!!! ila hamna kitu sipendi kama uongo!!! hata kama mtu hajacheat, bora unidanganye nisije kugundua, but nikishagundua, huwa inaniudhi sana, nikawa nasamehe, maana mtu anajieleza, mpaka mwenyewe unaamua tu kumsamehe (sometimes uongo wenyewe wa ajabu kweli, mpaka unajiuliza, hivi sasa kwa nini hapa huyu alisema uongo), then anarudia, tatizo kubwa nililojifunza, ni kuwa mwananume akikudanganya mambo mengine apart from kucheat, ye anaona sio ishu ya kukufanya wewe ukasirike, lakini mi nadhani hata hao wanaocheat wote walinza hivo.... so ukikasirika, mtu anashindwa kukuelewa unakasirikia nini... and its not fair kuwa unamdanganya danganya mtu ambaye yeye hakudanganyi!!!! ila kwa sababu sio mambo ya wanawake, mi nikawa namsamehe... lakini sasa baada ya all that mtu anakwambia hamna copy yake?????? reallly??? seriously????

  kwa kweli Roho wa Mungu na amani ya Mungu viendelee kuamua moyoni mwangu!!! nifanye maamuzi yaliyo sahihi!!! thats all i pray!!!
   
 16. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Pole mpenzi kama ni mpenzi wako wa kwanza ni ngumu sana aseee kwani nakumbuka hata mimi ilivyonitokea nilikua siamini na hata mtu alipokuwa akinishauri nilikua simuelewi lakini nashukuru mungu yalipita na yaliisha. Cha msingi kazana kumuomba mungu akupunguzie maumivu kama sio kuyaepusha kabisa, na amini ipo siku utabaki na amani moyoni ingawa kwa sasa unaumia. Jitahidi kujichanganya na watu unapiga piga stori ili usiwe unawaza sana. Yaani ni ngumu sana nakuombea uweze kuyashinda haya yakukutayo sasa ila usijilazimishe kumpenda kama unaona kabisa hakupendi kwani atakuja kukuumiza zaidi ya hapo.
   
 17. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  mmmmhhh Karibu sana dear....tulikumiss...huyo mpenzi wala asikupe kichaa mwambie tu hata wewe unajua hakuna Leney mwingine duniani...ukimweka maanani atakupa kichaa....ya nini my dear?kwanini alivyokuambia uliacha kupumua??? mfikirie mara mbili na kaa nae kwa akili....kama hujaelewa niambie!!!:hand:
   
 18. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #18
  Mar 10, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Leney nimerudi tena,,,hivi yeye akijisifia wewe huwa hujisifii?lazma na wewe uonyeshe thamani yako si umeona thread ya Dena leo?BTW,sifa za hivyo kny mahusiano hazijengi kwa both sides,,, kwanza mtu kama anakupenda kwa dhati sidhani kama anaweza kujikweza hivyo?kwani ameona mwanaume ni yeye mwenyewe ama?kama ni issue iko siriaz hivyo huyo ni noma! umewahi kumwambia kuwa hizo tambo hazikufurahishi?
   
 19. L

  Leney JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  was really waiting for your words my dear... I missed you sana my dear, and I missed ur writings... thank God am back...
  Kupumua bado napumua my dear, yani sikustop even a minute... yani hapo kama uko moyoni mwangu, coz at the beginning nilikuwa 100 % free, no hesitations, just there to love him... sasa si kama zamani, sasa natumia vyote moyo na akili, Ila Michelle, I want to walk away...mwanzo wakati naandika this thread, it was just kusikia maoni ya watu about mtu anaejisifia kuwa hamna copy yake,I didnot want to open up, but the truth deep down in heart, I want to walk away... lakini napata mawazo mengi sana kichwani, kwa mfano; yeye ana hayo matatizo ya uongo na utoto, hivi outside there arent there even worse pipo??

  The main battle in kumkubali kama alivo, au ku walk away... he is not going to change, thats the way he is... sasa hapo kipi ni sahihi?? I really want to make the right choice...huwa namwambia hivi these may be small things to you, but tukiingia into marriage (we were almost geeting married, dont even know how to explain this to my mom) hivi vitu vitakuwa ndo nightmares zetu, why wud I treat something, if I had the chance to prevent it?? Ila yeye anachukulia poa tu, yani sio issue anaona, he wants us to live the moment, tukiingia huko then tutajua...
   
 20. g

  geophysics JF-Expert Member

  #20
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Msamehe atatulia... Lakini naye asideke kihivyo. Ila anavyokwambia aweza kuwa na ukweli ndani yake... Sasa hivi kumpata mwanaume akakupenda na kukuthamini ni wachache dada yangu... Kama credit ulizokuwa unampa ni za kweli... Unaweza usipate zinazo karibia hata hapo.... Ukishaenda chini point fulani unakwenda kweli katika relationship umekwenda. Sasa hivi kuna vitoto vya sekondari na high school vinakuja juu sana kuopoa wakaka hivyo ushindani ni wa hali ya juu sana... Vyenyewe vinajifunza mambo ya kikubwa toka kwenye technologia zetu hizi basi we acha... "You might not find his copy sometime" lakini haizui kumpa changamoto au kumkosoa anapokosea.
   
Loading...