Tuseme ukweli, walevi wana kipaji cha hali ya juu cha ubunifu. Wakati sisi wengine tunahangaika kutafuta sababu za maana za kufanya maamuzi maishani, wao hawana muda wa mawazo magumu—maisha ni...
Habari wakuu Leo nmemkuta mdada dukani anaongea na simu nikashtuka mno
Huwa simuamini anavaa bangili za kiganga nyeusi mkono wa kushoto hujitanda shungi
Leo jioni naenda kununua kitu dukani kwa...
Jamani, humu JF mie nafurahishwa na mambo mengi. As we are approaching weekend hebu pitia some of ID's! Yaani Loh!
Angalia hizi wehoodie, giLESi, @St Paka Mweusi (yaani Mtakatifu Paka Mweusi?)...
Jana jioni nilikuwa napitia makabrasha yangu, nikakutana fomu moja ya mahudhurio ambayo ilinikumbusha na kunirudisha nyuma kidogo mwaka 2018. Baada ya kuvuta kumbukumbu nikaishia kutabasamu tu...
Jamani wapendwa nasumbuka usiku na mchana, mimi (naishi ulaya lakini mkenya) kuna kitabu moja nilinunua (amozon.com) nikafanya ilivyo andikwa, sio kitabu kibaya (nitapost mkione) lakini yanayo...
Wakuu, kwa sie tuliopitia kwenye kupanga nyumba ambazo kwenye eneo ni zaidi ya tatu, na unakuta wapangaji ni bachela, basi huwa kuna vitabia fulani haviwezi kukosa baina yetu.
Kuna sehemu...
Huyu ndiyo Ibn Unuq aliyeshikilia maajabu yake kihistoria kwa miongo kadhaa mpaka akaingia kwenye viumbe wa kale wa ajabu.
#1 Aliwahi kuikimbiza radi mpaka ikachoka na kuomba mapumziko.
#3...
C&P
Frank: Nesto Kwa Nini Mwanamke Yule Ananitazama Hivi?
Nesto:mwanamke Yupi?
Frank:yule Pale Kavaa Gauni Ya Bluu.
Nestor:usimtazame Kamwe achana nae.
Baada Ya Dakika Chache Frank Akasema...
The caski...pale rock mall[raha ya pale kuna vicheche wakutosha, pia unaweza kupiga mzigo kwenye gari pale parking]tatizo wa hudumu wapale ni mazombi sana unaweza kuangiza bia au chakula ukakaa...
Kwanza kabisa mimi ni muumini wa injili ya Yesu Kristo iletayo wokovu! Katika mishemishe zangu mara nyingi naungaunga na usafiri wa mwendo kasi katika moja ya stendi zenye watu wengi hapa Dar...
Kuna hii tabia ya hivi viemolo kupenda show off mbele ya wapenzi/wake zao pindi vinapokua viko karibu na sisi wanaume warefu,hapa hotel nilipo kuna kimoja kimeingia na sijui mke au mpenzi wake...
Kama mjuavyo utundu wa watoto kuchezea simu
Juzi kati kaka shika kiswaswadu changu anacheza game
Na fikiri aliingia pia upande wa kuseti tarehe na mwaka
Akaseti mwa 2099
Massage zilivyo ingia...
6 Usile chakula cha mtu bahili, wala usitamani mapochopochorts yake,
7 maana moyoni mwake anahesabu unachokula.a Atakuambia, "Kula, kunywa!" lakini moyoni mwake hayuko pamoja nawe.
8 Utatapika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.