JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hawa wanyama wa ajabu sana waharibifu mpaka wanakeraa, wanaweza wakaingia kwenye begi wakaacha vitu visivyo vya maana wakatafuna vyeti vya shule au hela. kwakweli mimi nikiwaona hawakai kwa amani...
7 Reactions
56 Replies
1K Views
Mwanaume kabisa unatamka maneno haya? 😔 Mambo Haya Nyimbo❌ wimbo ✅ Niwekee chips za kushiba
5 Reactions
13 Replies
644 Views
Kutokana na kuonekana mzee, madaktari vishoka wamenishauri nipunguze au niache kunywa pombe kwa sasa ili mwili uweze kujijenga vizuri, na kurudi utotoni. Sasa, nina mwezi mmoja nipo ugenini na...
1 Reactions
15 Replies
509 Views
Niliacha kunywa bia baada ya kufikia hatua ya kunywa kreti moja ya castle lite bila kulewa ikabidi nihamie kwenye pombe kali. Kama hizi: K VANT KONYAGI BEFFEATER LONDON THE FAMOUS GROUSE JAMESON...
9 Reactions
226 Replies
33K Views
"Pakiwa ndipo unapolala humo humo unatunzia na vyombo vyako basi hicho sio chumba hio ni stoo" alisema kijana mmoja graduate huku akiwa ameegemesha miguu miwili kwenye sofa la shemeji yake
9 Reactions
36 Replies
1K Views
Ukiwa na huzuni, umetendwa au maisha tu yamekuvuruga, unasikilizaga nini kujiliwaza. Top 5 zangu Million years ago - Adele Sikati Tamaa - Darasa Moyo Wangu - patrick kubuya Voilà - Barbara Pravi...
2 Reactions
71 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Iko hivi mwaka jana sikulipa kodi ya nyumba baada ya kushindwa kumpata kwenye simu mwenye nyumba. Yeye huwa anakaa singida na Mimi niko Geita na nyumba yake nikihopangishwa Iko hapa...
11 Reactions
39 Replies
1K Views
Kuna yule mwamba anaitwa tako_la_mtemi Nikifa MkeWangu Asiolewe 😅😂
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Duh nimesoma hii comment ya LIKUD akielezea hatua aliyo ichukua baada ya mpenzi wake kuja na " behewa" kwenye mtoko nacheka mpaka machozi. Comment yenyewe ni hii hapa chini👇👇
3 Reactions
4 Replies
489 Views
Mchongo wowote wa kazi au hela ya kula bando lenyewe nimeomba
13 Reactions
82 Replies
2K Views
Staff members wanapiga kazi kubwa sana, leo nimejisikia tu kuwapost😁. Tag staff member wako mmoja unaemkubali sana, hata kama ashawahi kukufutia uzi au kukulamba block/ban then ukamjua we mtaje...
14 Reactions
223 Replies
5K Views
Tumechoka usumbufu usio wa lazima, now ni Tit for Tat😂, ninyi si mabingwa bwana basi twendeni hivyo tu hakuna kujaza manamba yasio na faida, sms eti "VIPI NIAMBIE" khaa🚮 2025 nimeamua ukiomba...
3 Reactions
44 Replies
1K Views
Unapojiona upo kwenye faragha chooni unajikakamua gogo litoke mpaka macho yanakutoka kamq baunsa la amadou amadou ujue hauko peke yako unakuwa na mwenyeji wako.
7 Reactions
83 Replies
3K Views
Wakuu Moja ya video ambayo imevutia macho ya wengi na kusambaa mitandaoni, nini umejifunza baada ya kutazama mpaka mwisho na ulitegemea nani angeshinda?
2 Reactions
7 Replies
578 Views
Mimi nalinda sana mkuyenge kila nikiamka lazima nifanye microphone test, wewe je?
6 Reactions
37 Replies
1K Views
20,007 27,000
4 Reactions
35 Replies
1K Views
Ndugu marais hamjambo (kwa lafudhi ya kihaya), naona wengi wenu mnashida sana, mfano we Trump hutulii kabisa, nimeamua kukupa msaada wa dhahabu tani 1 bure, Tanzania ni Tajiri hatuna njaa. Halafu...
0 Reactions
4 Replies
492 Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi sijafunga kwasababu sion sababu ya kuifunga nikipata sababu nitafunga
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Hayo sio maneno yangu, bali ni maneno ya Vodacom Mpesa, wakinijulisha kuhusu muamala nilio ufanya asubuhi ya leo. Miaka kadhaa iliyo pita hela hii ningeiweka kwenye akaunti ya Mr. Muggetta in the...
22 Reactions
65 Replies
2K Views
Wanajamvi, Kama ambavyo tumekuwa tunawajulisha hapa majamvini, Wana-Arusha Wing tukiwakilishwa na Blaki Womani, marejesho Filipo, Arushaone, Lily Flower Preta, werawera na miye PakaJimmy...
18 Reactions
283 Replies
15K Views
Back
Top Bottom