JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kutoka kwenye msemo wa Charles Bukowski "Ukiwa hauna mtu anayekuamsha asubuhi, hakuna anayekusubiri usiku, ukiwa unafanya unachotaka huu tunaita ni upweke au uhuru"
5 Reactions
49 Replies
2K Views
Nikamwomba msahama hakuelewa kikao kikakaliwa nikaomba msamaha nikasingizia kuwa siku hiyo nilitumia bangi. Wewe ilikuwaje?
5 Reactions
16 Replies
796 Views
Alikuwa rafiki yangu sana mshikaji sana kila siku ilikuwa lazima kujuliana hali mda mwingine kutembeleana kabisa ushauri mwingi kiufupi ushakiji ulipitiliza tukawa kama ndugu Maisha yaliendelea...
4 Reactions
48 Replies
1K Views
Kamjadala kamezuka hapa... Eti kati ya hawa watajwa ninani anapenda sifa zaidi?
3 Reactions
104 Replies
23K Views
Kwa mfano baba anaitwa Juma hatotaka mwanae amuite wee Juma Ila atataka amuite baba au mama anaitwa Esta. Hatoruhusu mtoto wake amuite Esta Ila amuite mama.Je Kuna shida gani mwanao akikuita jina...
3 Reactions
15 Replies
511 Views
mzabzab Poor Brain Swahili AI min -me Shimba ya Buyenze PSL god Red black naelewa mambo yenu ila huu ni mwaka wa kujenga, fungeni macho 😂😂😂
4 Reactions
4 Replies
304 Views
Kuna Watu Ni Bure Kabisa! 😀😀 1. Unapewa lift unamwambia mwenye gari apunguze sauti ya redio na wakati kuna ngoma yake anasikiliza! Wewe ni bure kabisa😀! 2. Unaingia kwenye ofisi ya mtu, simu...
12 Reactions
37 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mjumbe mmoja tu tena mbishi kweli na anajifanyaga kasoma na mjuaji ndiyo kapinga azimio letu! Tafakuri ya kina kwa wenye hekima za kipekee Mchana mwema
5 Reactions
68 Replies
3K Views
realMamy . Picha bora sana hii tuliopiga ngoja niweke status. PSL god min -me Poor Brain achenni mazoea na mammii
16 Reactions
66 Replies
2K Views
Zebra Question by Shel Silverstein. I asked the zebra Are you black with white stripes? Or white with black stripes? And the zebra asked me, Or you good with bad habits? Or are you bad with good...
4 Reactions
2 Replies
350 Views
Wadau, kuna kijana amenifuata huko DM na kuniita shangazi kwasababu amesema nimejiunga humu wakati yeye ndiyo anaanza shule ya msingi. Sasa najaribu kupima, je natosha humo kwenye ushangazi na...
15 Reactions
114 Replies
3K Views
Popoma enzi hizo ndo amegraduate SAUT mwanza mass communication. Akawa anaandika threads na michango humu kwa kuweka rangi tofauti blue, nyekundu, njano, pink kwenye maandishi. Huyu GENTAMYCINE...
49 Reactions
397 Replies
28K Views
Miaka hio niko dar, nimepanda dala dala natoka gongo la mboto kuja kariakoo, kufika mitaa ya airport (ndege) naona njiwa anaingia ndani ya dala dala yetu kupitia dirisha la nyuma na akajibanza...
29 Reactions
136 Replies
5K Views
Hello ladies and gentlemen, it's my hope that you're doing well. The most important thing that intrigued me to put down this discourses is all about LOVE & APPRECIATION. I have been tried to...
12 Reactions
356 Replies
19K Views
Jamani wapendwa humu ndani leo tarehe 6/2/2014, mpendwa wetu sungura1980, anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa. Nakutakia maisha marefu na yenye furaha,amani,baraka na upendo. Enjoy your day!!!
10 Reactions
141 Replies
7K Views
Wakuu Kwanza mtanisamehe. Huu ni mtazamo wangu tu kuhusu sisi weusi yanapokuja mambo yanayohitaji tuwe siriazi, tumekuwa sio kabisa. - Mtu mweusi ana shida sana. - Naungana na wanaosema weusi...
0 Reactions
1 Replies
385 Views
Back
Top Bottom