ID za JF bana. . . .

Ronn M

JF-Expert Member
May 2, 2012
1,279
683
Jamani, humu JF mie nafurahishwa na mambo mengi. As we are approaching weekend hebu pitia some of ID's! Yaani Loh!

Angalia hizi wehoodie, giLESi, @St Paka Mweusi (yaani Mtakatifu Paka Mweusi?). Halafu hili Ngongoseke lina asili

ya wapi? Na Bujibuji je? Haya huyu sijui wa sumbawanga? Anaitwa samilakadunda! Kuna figganigga na
ruttashobolwa!Uwepo wa 'bo' hapo mnh! Halafu huyu @X Pastor anamaanisha mchungaji wa X au mchungaji

aliyepita? Na huyu ni PakaJimmy. Hivi 'hiki' King'asti 'kikoje'? Ama kweli kuna majina humu!

Ila kuna waliojipendelea
sweetlady, ee bana! charminglady, FirstLady1, Erotica, Kipipi, Lizzy, pretta! Majina yanafanana na ID

All in all majina bomba kuliko yote ni ya mpenzi mama yangu gfsonwin na mmewe Kaizer!

Jf na majina bana!
 
Last edited by a moderator:
Yani huko kwenye avatar ndo usipime unaweza ukabaki unatumbulia macho screen kama fundi saa aliyepoteza nati.
 
Kwenye avatar ndio balaa. Kuna yule mwenye bichwa la nazi. . . Huwa ananikumbusha naniliu
 
Mkuu figganigga ni upcoming moderator so kua makini unapo taja hii ID. unaweza ukapata ban ya majaribio. kuna jamaa alikua akijiita kifilio lakini invisible akaandamana sasa havi anajiita filio. mwingine alikua anajiita bebiii member wa jf wakaandamana coz kila dume lilikua linasema eti ni bebii wake, akaona watauana ikabidi ajiite Smile. mwingine alijiita popobawa akaona hapati pm ikabidi abadilishe na kujiita Maporosoo. mwingine alijiita invi akaona hasomeki na kutisha sasa anajiita Invisible. Mia
 
Mkuu nipo kwenye dala dala halafu nimejikuta nacheka peke yangu kaa mwehu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu figganigga ni upcoming moderator so kua makini unapo taja hii ID. unaweza ukapata ban ya majaribio. kuna jamaa alikua akijiita kifilio lakini invisible akaandamana sasa havi anajiita filio. mwingine alikua anajiita bebiii member wa jf wakaandamana coz kila dume lilikua linasema eti ni bebii wake, akaona watauana ikabidi ajiite Smile. mwingine alijiita popobawa akaona hapati pm ikabidi abadilishe na kujiita Maporosoo. mwingine alijiita invi akaona hasomeki na kutisha sasa anajiita Invisible. Mia
ahahaaaaaaa upo wewe..nitazimia jamani mbavu zangu...
 
Mkuu figganigga ni upcoming moderator so kua makini unapo taja hii ID. unaweza ukapata ban ya majaribio. kuna jamaa alikua akijiita kifilio lakini invisible akaandamana sasa havi anajiita filio. mwingine alikua anajiita bebiii member wa jf wakaandamana coz kila dume lilikua linasema eti ni bebii wake, akaona watauana ikabidi ajiite Smile. mwingine alijiita popobawa akaona hapati pm ikabidi abadilishe na kujiita Maporosoo. mwingine alijiita invi akaona hasomeki na kutisha sasa anajiita Invisible. Mia

Shkamoo Figga
 
Last edited by a moderator:
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom