viwanja venye shagwee Ukiwa Mwanza

B'REAL

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Messages
3,409
Points
1,500
B'REAL

B'REAL

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2010
3,409 1,500
The caski...pale rock mall[raha ya pale kuna vicheche wakutosha, pia unaweza kupiga mzigo kwenye gari pale parking]tatizo wa hudumu wapale ni mazombi sana unaweza kuangiza bia au chakula ukakaa lisha, au kulipa bill wakakaa we.

Diamond...pale kona ya bwiru jamaa kapa maintaine status yake long time,kuna malaya wa kila aina ila wengi wanajifanya classic ila hakuna kitu, pia kuna classic wanakuja kupiga mvinyo tu na kusepa.wako vizuri kwa huduma

faith...nyamanoro pale kiwanja kizuri sana kuna totoz kikweli ila janja janja sana

villa resort plus the kiss viwanja vya zamani ila vina mzuka, Villa live band yao na samaki wako vizuri,tatizo malaya wabei raisi, mijimamaa kibao wewe tu.

The wallet bar nzuri iko poa sanaa, kuazia wa hudumu ni nguvu zako tu[iko mission kirumba]

bundasiliga.....nyakato siku hizi haina mzuka sanaa, wameshindwa ku maintain service, kumekuwa kwa hovo tu

DIVE8 nundu nyakato hatari sana hapaa, yani hapa uwezi kukosa nyapu 24 hours a day, hata uwende saa nne asubui unapata mzigo ila waizi.
 
B'REAL

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Messages
3,409
Points
1,500
B'REAL

B'REAL

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2010
3,409 1,500
mkuyuni...kuna RAHA leo., hi bar kuna live band na malaya wachafu wengi sana, ila ukishikwa na kiu hukosi

kuna konki wao pale juu chafu lakini ni noma kwa supu ya kongoro hata sa kumi namoja asubui unapata ya moto kabisa, au supu ya mkia...Shokeni bar

malimbe kuna house of talent wanapaita Plazima,rahaa ya pale kuna waudumu wa hatari sanaa, visu afu full vimini vya kufa mtu,ukienda na demu wako pale halahalaa maana ukirudi nyumbani unaweza kununiwa.

Nyegezi kuna kilimanjaro basi balaa lake pale acha kabisa....kuna kila sampulii ya mademu makapurwa,vibaka,wamama, wabibii.pia unachukua mzigo

MKOLANI....kuna Gate way bar, wahudumu wapale full vimini...ila kuna sato wa kuchoma konki sana

BUhongwa kwa wazee wa Tanzanite Pale mademu ni wezi vibaya, na kama hunausafiri siku shauri maana vijana ni wezi kweli, kuna disco vumbi pale.
 
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
4,984
Points
2,000
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
4,984 2,000

Haya maeneo nitayafanyia kazi ili niseme ukweli.
mkuyuni...kuna RAHA leo., hi bar kuna live band na malaya wachafu wengi sana, ila ukishikwa na kiu hukosi

kuna konki wao pale juu chafu lakini ni noma kwa supu ya kongoro hata sa kumi namoja asubui unapata ya moto kabisa, au supu ya mkia...Shokeni bar

malimbe kuna house of talent wanapaita Plazima,rahaa ya pale kuna waudumu wa hatari sanaa, visu afu full vimini vya kufa mtu,ukienda na demu wako pale halahalaa maana ukirudi nyumbani unaweza kununiwa.

Nyegezi kuna kilimanjaro basi balaa lake pale acha kabisa....kuna kila sampulii ya mademu makapurwa,vibaka,wamama, wabibii.pia unachukua mzigo

MKOLANI....kuna Gate way bar, wahudumu wapale full vimini...ila kuna sato wa kuchoma konki sana

BUhongwa kwa wazee wa Tanzanite Pale mademu ni wezi vibaya, na kama hunausafiri siku shauri maana vijana ni wezi kweli, kuna disco vumbi pale.
Mzee, Hapo Plazma dah! Hatari saana aisee, sikushauri uende na demu wako. Labda awe zaidi ya mjanja. Lasivyo mtanuniana mwaka mzima.

Kilimanjaro nilihudhuria aisee.
Kweli uko vizuri.
 
B'REAL

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Messages
3,409
Points
1,500
B'REAL

B'REAL

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2010
3,409 1,500
Haya maeneo nitayafanyia kazi ili niseme ukweli. Mzee, Hapo Plazma dah! Hatari saana aisee, sikushauri uende na demu wako. Labda awe zaidi ya mjanja. Lasivyo mtanuniana mwaka mzima.

Kilimanjaro nilihudhuria aisee.
Kweli uko vizuri.
hahah plazima yataka moyo...sio kwa vimini vile.mteja unagombaniwa
 
B'REAL

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Messages
3,409
Points
1,500
B'REAL

B'REAL

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2010
3,409 1,500
hapo kilimanjaro na tanazanitw wameboresha mwaka huu nini?maana hizo sehwmu huwa zimepoa sanaa
mkuu kilimanjaro wameboresha, wale malaya ovyoo wote wamewafukuzia stend pale, na hakuna malaya wa kuzagaa njee.kidogo kumependeza ila kume poa.raha ya kilimanjaro ilikua zile hekaheka
 
Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,451
Top