JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu habari zenu?... Moja kwa moja kwenye mada. Hebu tufunguke hapa majina yetu yakificho hapa jukwaani Yana maana gani. Mimi jina langu TANO BORA nikwasababu siku najisajili Jamiiforum ndo siku...
15 Reactions
203 Replies
6K Views
Wewe umejuaje ni nyingi,😂😂😂 Shauri yako na wakati huu mtakondeana kama mshumaa kwa maana USAID wamed*nda hawatoi mavidonge ya bure
2 Reactions
4 Replies
341 Views
Nini kinakulazimisha kuwa kama ulivyo? Tofauti na ulivyo?
4 Reactions
18 Replies
541 Views
Mnawapa stress dada zetu kwa statement za aina hii mnafanya waanze kufakamia chakula kutafuta unene wengine wanafika mbali mpaka kutumia dawa za kuongeza mwili wakati kina Babamorgan ni wadau...
2 Reactions
3 Replies
388 Views
Maisha ya zamani ilikuwa raha tupu:- ''Ingia bandani kamata kuku wawili tuchinje'' ''Ingia shambani vunja mahindi tuje tuchome'' ''Chemsha kahawa hapo jikoni ulete tunywe huku ukinihabarisha...
5 Reactions
29 Replies
908 Views
Kesho kutwa nina safari ya kwenda Shirati mkoa wa Mara, wakati wa kurudi nitapita Mwanza kwa mapumziko ya siku mbili. Kipindi cha nyuma Villa Park na Dv8 zilikuwa 🔥🔥🔥. Kwa wana Mwanza ni kiwanja...
4 Reactions
41 Replies
8K Views
#Roadlife. Tuikemee vikali tabia ya baadhi ya madereva na hasa wa malori ya kunywa juice au soda halafu hawamalizii kisha kutupa hizo chupa zikiwa na juice au soda ndani yake,hii tabia si nzuri...
2 Reactions
12 Replies
402 Views
Ilikuwa saa tatu usiku, nakumbuka nilikuwa room nimechill kisha nikaamua niende nje nijiburudishe kidogo. muda huo wazazi walikuwepo sebuleni wakitazama TV, hivyo nilipaswa kuwa mwepesi, nitoke...
7 Reactions
4 Replies
392 Views
Nikifa MkeWangu Asiolewe ukikaidi utapigwa2 Utajua wewe Utajua ujui Salary Slip Imeloa
33 Reactions
195 Replies
7K Views
Watoto wa 2000 wanadhani hii ni cake
5 Reactions
19 Replies
922 Views
Kutoka kwenye msemo wa Charles Bukowski "Ukiwa hauna mtu anayekuamsha asubuhi, hakuna anayekusubiri usiku, ukiwa unafanya unachotaka huu tunaita ni upweke au uhuru"
5 Reactions
49 Replies
2K Views
Nikamwomba msahama hakuelewa kikao kikakaliwa nikaomba msamaha nikasingizia kuwa siku hiyo nilitumia bangi. Wewe ilikuwaje?
5 Reactions
16 Replies
796 Views
Alikuwa rafiki yangu sana mshikaji sana kila siku ilikuwa lazima kujuliana hali mda mwingine kutembeleana kabisa ushauri mwingi kiufupi ushakiji ulipitiliza tukawa kama ndugu Maisha yaliendelea...
4 Reactions
48 Replies
1K Views
Kamjadala kamezuka hapa... Eti kati ya hawa watajwa ninani anapenda sifa zaidi?
3 Reactions
104 Replies
23K Views
Kwa mfano baba anaitwa Juma hatotaka mwanae amuite wee Juma Ila atataka amuite baba au mama anaitwa Esta. Hatoruhusu mtoto wake amuite Esta Ila amuite mama.Je Kuna shida gani mwanao akikuita jina...
3 Reactions
15 Replies
511 Views
Back
Top Bottom