JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Inakuaje huyu jamaa anajina la kibongo au ndio yule aliewashugulikia simba jamaa anaitwa samueli mbangula kama unavyomuona hapo kwenye picha.
0 Reactions
11 Replies
656 Views
Kama mbwai na iwe mbwai. Mara nyingi nimesoma kuhusu wanaume wa dar na vituko vyao. Nimejaribu kuangalia wake zao wakoje. mmmh mie nimegundua haya, sijui wewe umegundua nini..... Wanaagizi...
9 Reactions
57 Replies
6K Views
Wakuu huu ni mwaka mwingine wa kufosi. Lazma kieleweke. Tumegeane hizi maujanja. Notes zinachukuliwa kama kawaida na hakuna ile kitu mtu atafanya! 🖋🖋🖋
6 Reactions
27 Replies
642 Views
Kuna mabadiliko ni mengi hutokea.
12 Reactions
220 Replies
16K Views
Naomba nijue kama kudeka ni usumbufu kwenu wanaume
3 Reactions
61 Replies
2K Views
Nimemkomesha. Kanitumia nauli akajua nitaenda mimi sijaenda. Ananipigia sipokei. Akiendelea nampiga block
7 Reactions
91 Replies
8K Views
Kama idadi ya Watanzania ni milioni 54, kwanini serikali isitutafutie Sh milioni 54. Hapo kila Mtanzania atapata milioni 1 tufanye biashara.
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanywaji na walevi waandamizi na wabobezi Karibuni. Nataka ninywe moja chapu na kesho niwe vizuri kazini. Wekeni na sifa zake.
6 Reactions
108 Replies
3K Views
Check and tell yourself
2 Reactions
12 Replies
469 Views
Kwa wale wakazi wapya wa Arusha ambao hamjazoea hili baridi kama mimi mnaendeleaje? It is too cold here jamani mpaka I miss Dar. Is there any lady here or gentleman that we can have some pretty...
26 Reactions
209 Replies
11K Views
Katika hali ya kushangaza msanii wa kufokafoka Hamorapa ameonyesha video wakati akichoma gari lake.
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Nimeikuta mahali hii, soma mpaka chini Kisha tafakari. Francis Chacha Wambura Kazi; Mkulima Umri: 98 Wake: 6 Watoto: 47 Wajukuu: 86 Sababu ya kifo: uzee Lazaro Olemgbe Kazi: Seremala...
2 Reactions
13 Replies
682 Views
Naomba mwenye namba ya Mshana Jr anitumie kwenye namba hii 0625662358
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Naanza Mimi: 😁 = Chewaa
7 Reactions
169 Replies
3K Views
Hi. Ushauri gani unaweza kumpa binti aliye in her early 20s ambaye anajiandaa kuhamia mji mkubwa kwa mara ya kwanza, kujihusisha na kazi ya waitress asiye na exposure ya maisha yoyote? Anajiandaa...
11 Reactions
108 Replies
3K Views
Kwa miezi kadhaa sasa kama unafuatilia posts za Clouds FM utagundua kwamba watu wengi wanalalamika kupotea kwa redio hiyo kwenye mikoa yao kwa muda mrefu. Miongoni mwa mikoa ambako Clouds...
14 Reactions
55 Replies
3K Views
Nimeona sio jambo baya Kama tukawa na Uzi maalum kwa ajili ya viwanja vya starehe, Tukutane hapa Kupeana updates za viwanja ubora wa huduma zitolewazo kwenye viwanja viwanja vya kukwepa...
12 Reactions
54 Replies
2K Views
Nije moja kwa moja kushare na nyie kilichonileta humu leo.Nimepata bahati ya kutembelea nchi za ulaya, kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo tamaduni zao. Kuna mambo mbali mbali ya kuvutia na ya...
9 Reactions
29 Replies
9K Views
Leo nimemkumbuka Mtangazaji wa enzi hizo kutoka KBC (Kenya) Leonard "Mambo“ Mbotela ni mtangazaji mashuhuri wa redio nchini Kenya. Tulimjua haswa kupitia kipindi chake mashuhuri cha "Je, hii ni...
0 Reactions
3 Replies
12K Views
Back
Top Bottom