Eti wakuu ivi kuna ulazima?
Maana naona kila mtoko ni unaambatana na full minyama choma n.k.
Kwani hamuezi kuchill tu sehemu mkastorika tu na labda kupooza koo kwa maji kidogo?
Sina maneno mengi ila ninayotoka moyoni. Moyo wangu unaelea katika bahari ya mapenzi yako. Wewe ni kama ua langu zuri, lenye harufu nzuri na rangi ya kupendeza.
Kila ninapokuona, moyo wangu...
Salaam kwa wote mliowahi kusoma Shule ya Sekondari ya Jitegemee lengo la uzi huu ni kusalimiana na kukumbushana vitu vizuri na vya kipekee vinavyopatikana/vilivyokuwa vinapatikana shuleni...
Niliijua JamiiForums 2013 wakati nimemaliza mafunzo ya JKT. Nilikuwa nikifukuzia ajira za majeshi na idara za ulinzi. Sasa wakati naandika jambo google nikajikuta nimeletwa JF. Nilishangaa sana...
Eti ni ya kweli haya ?
Naona reply nyingi kwenye nyuzi zangu kua wanawake waliojazia kwenda nyuma ndiyo kila kitu.
Haya mtuambie mnayapendea nini matraaakoooo makubwa 🍑?
Vipi wanawake wenye...
Maybe you should talk to someone, clear the air, rekindle lost time, find that sweet spot in the midst of all the chaos. I know, I know, therapy comes in a variety of demeanors and because of that...
Kuna baadhi ya watu wanekerwa na SMS wanazoandikiwa na ndugu, jamaa, marafiki, wapenzi (mademu)nk.
Kuna rafiki yangu anakerwa na SMS zenye herufi 'X' inayokaa badala ya 'S' mfano mtu anaandika...
Kuwa off wiki ambazo walevi wenzio ndo wamebananika kazini shida sana.
Ngoja nipoteze muda kuongelea hili swala la raraa reree
Huyu ndugu yetu ana kiwanda cha likes, hebu nipe siri na mm niwe...
Mimi bwana enzi hizo nikiwa nimehamia Dar nikiwa naishi kwa kaka yangu kukawa na shemeji yangu nae ana mdogo wake wa kike tukawa tunaishi nyumba moja.
Mimi geto langu lilikua banda la uani na la...
Wakuu salama hapa
Shemeji/wifi yenu kanizalia kijana wa kiume usiku wa kuamkia leo
Hapa nilipo nafikiria jina la kumpa kijana huyu, manake majina ni mengi sana, ila nimeona sio mbaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.