majoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,442
- 4,325
Kama mbwai na iwe mbwai. Mara nyingi nimesoma kuhusu wanaume wa dar na vituko vyao. Nimejaribu kuangalia wake zao wakoje. mmmh mie nimegundua haya, sijui wewe umegundua nini.....
Wanaagizi mahousegirl na kuanza kuwatumikisha bila huruma tena mkiwadhurumu mishahara yao.
Ni wambea na wavivu hata kutandika vitanda vyao ni shida
Kutwa kujipodoa tuuu na kuhangaika na fasheni
Wanakopa hadi vikoba ili tu wajitengeneze sura zao na sio kufanya biashara au chochote cha manufaa
wanajifanya hawajui kulima na hawajazoea shida ingawa wengi wanaishi kwa shida.