JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kutuamsha salama Kutufikisha kazini salama Na kumwamsha huyu anaesoma hapa salama Utusaidie turudi salama na tukumbuke kutoa shukran kwako kila iitwapo Leo Kama waamini sema amen
2 Reactions
3 Replies
191 Views
Basi kama na nyie pia mnaitaka Mimba aliyopewa Namungo jana vuteni subira mtakuja kupewa / kujazwa 8/3/2025 Ok?
0 Reactions
1 Replies
279 Views
Ana Kipaji cha hali ya juu mno cha Uchekeshaji na pia ni Mbunifu mno. Apigiwe Kura nyingi ili aweze kuibuka Mshindi Ok?
3 Reactions
5 Replies
593 Views
Kausiku kameingia, njooni tuzogoe. Mpo humu wanaume ambao mnapenda muachiwe mbususu zikiwa na minywele imetaradadi, wakinyoa mnakasirika mfano mzuri huyu hapa "Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila...
8 Reactions
95 Replies
2K Views
1. Mara 2. Arusha 3. Mwanza 4. Geita 5. Shinyanga 6. Mbeya 7. Rukwa 8. Katavi 9. Songwe 10. Iringa
14 Reactions
140 Replies
4K Views
Nimeenda kununua hizi Mali ,nikaingia nazo kwenye dalala aisee Nikasikia wanaanza kusali🤣🤣😂😅😆 Kisha wakamwambia konda anishushe,eti Mimi sio mtu WA kawaida Jamani weusi wenzangu acheni ushamba...
1 Reactions
11 Replies
979 Views
Kuna watu unakuta wanaulizia ID flani za JF baada ya kutoonekana kwa muda. Kuna watu hupata ushauri ambao unawaondoa kabisa kwenye hali waliokua nayo. Kuna watu husema wamekua addicted na JF...
21 Reactions
155 Replies
5K Views
Hakika imeenda vizuri sana na nimefurahia 😊. Kwako imeendaje hii siku?
15 Reactions
153 Replies
3K Views
Sina hakika kama ni Afrika nzima au Mtanzania tu. Wengi wao akikupigia simu baada ya kupokea simu yake na akagundua kuwa haukuwa mlengwa, basi hukata simu ghafla bila maelezo yeyote. Huwa kuna...
3 Reactions
13 Replies
632 Views
Nakumbuka ile nimemaliza tu form four nikasema hapa sibaki home nasepa zangu porini kupiga mishe za kuchana magogo,kusomba mbao na kupakia kwenye magari.Basi time ilivofika kuna jamaa nilisoma...
19 Reactions
58 Replies
3K Views
Habari wakuu Natumaini wote tulisoma kwenye zile shule zetu mambo mbali mbali, ikiwemo mambo ya kuzingatia katika uanzishaji wa kiwanda. Inawezekana yale tuliyoyasoma shule, tumeyaacha kule kule...
4 Reactions
37 Replies
1K Views
Mimi ni wanangu wa kiume, hua wanaamka asubuhi na kuweka wali kwenye rice cooker kwa sababu wakila vitafunio kama mikate hawashibi. Wanaanza na chai na kitafunio kama starter, halafu wanakula...
10 Reactions
84 Replies
2K Views
Yani wazungu bana hii chatGPT wametuweza sana, hata hivyo wakuu, hii kitu isifananishwe na Ile takataka ya wachina kabisa. Chatgpt ni next level . 🤣🤣🤣.
26 Reactions
107 Replies
5K Views
Asamaleko wadau Mimi nina hii tabia ya kupenda vitu vikubwa na vyeusi. Pengine kama inakuwa na sababu fulani naweza kupata jibu hapa. Tangu enzi nanunuliwa mavazi nilikuwa napenda sana nguo...
8 Reactions
64 Replies
2K Views
Habari zenu champs!!! Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema aisee naombeni msamaha wakuu najua kwa namna moja ama nyingine tulikwaruzana sana humu kutokana na kupitishana misimamo na ikifikia...
4 Reactions
7 Replies
399 Views
Leo nakiri bila kushurutishwa makalio yana umuhimu wake. Najua baadhi ya waja hasa flat screeners wataguna😜na wengine wameenda mbali zaidi kwa kudai eti makalio makubwa yanapunguza akili...
6 Reactions
34 Replies
1K Views
Happy Valentine's Your all Deserve this. Enjoy your Day. Kisses 😘
11 Reactions
98 Replies
2K Views
Hawa watu wa Buchani wanadharau sana. Yaani mtu akinunua nyama robo wanamfungia kwenye gazeti. Tena la michezo, au kwakuwa analeta mchezo na nyama??
12 Reactions
35 Replies
963 Views
https://youtu.be/dZaiVgolHgY?si=5V0wXgHB-OVl-HiP
0 Reactions
2 Replies
281 Views
Habari za jumapili members wa jamiiforums. Asilimia ya kumwamini Mungu imebaki moja tu.
7 Reactions
100 Replies
2K Views
Back
Top Bottom