Huku wakivuta hewa safi na kusikiliza milio ya ndege.
Wanakuwepo mjini kwa ajili ya majukumu tu, na ikifika mida ya jioni wanarejea kwenye makazi yao nje ya mji.
Wenye akili ndogo watapambana...
Watu wengi hufikiri ndege huimba kwa ajili ya kuburudisha tu, lakini ukweli ni kwamba nyuma ya kila mlio kuna ujumbe muhimu.
Ndege wa kiume, kama njiwa na spicies nyingine nyingi, hutunga...
Hivi unajuaje humu unapigwa ban bila sababu za msingi,? Mods mnaonaje mkishea sababu ya mdau kupigwa ban jukwaani?🤔
Mnapiga ban nyepesi mno bila kutoa sababu na maelezo yakinifu 🤔
Nimekuwa nikiona mara kwa mara nyuzi zinazoulizia wanachama ambao wamepotea jukwaani kwa muda mrefu, wengine miaka mitano, minane au zaidi. Sasa naelewa kwa nini jambo hili hutokea.Najua ukimya...
Wadau ilishaletwa thread hapa kuhusiana na hizi status na profile picha za watsap, mkewangu ni muathirika wa hili, status zake za ovyo yaani kana kwamba hajaenda shule.
Profile picha zake ndo...
Kuna jamaa aliwahi niambia kama mimi angekua yeye, angetembea na wadada wengi sana, nikamuangalia nikajua ndio uhalisia, wanaume wengi hawana mvuto kwa wadada, Asilimia kubwa ya wanaume...
Habari za muda huu wana jamiiforums,
Okay tuanze, mara nyingi tunafikiri "raha" inatokana na vitu vikubwa tu kama pesa au mapenzi. Lakini kisayansi, ubongo wetu unazalisha kemikali za furaha...
Nakumbuka ilikuwa Mwaka 2008 mwezi Juni nilikuwa naenda kikazi Lusaka, Zambia basi sijui hili wala lile kwenye tiketi iliandikwa saa ya ndege kuondoka saa 12 asubuhi (ndege ndo inapaa) mimi...
Moja kwa zote kwenye mada!! Kifo kisikie tu wakuu leo baada ya mvua na radi kubwa na nyingi niko zangu mtaan nimejibanza sehem nikisubili hali ipoe niende na mishe zangu
Sasa kilichofatia hapo ni...
SHEMEJI: bandiko ni kitu gani na inatoka wapi?
KIJANA: Si unajua shemu mimi JF ndio napotezea mawazo, sasa nimepigwa ban, siwezi ingia
SHEMEJI: ndio maana asubuhi hadi jioni upo na simu tu tena...
Asubuhi: Ma-Don wa Chai ya Rangi
Siku inaanza saa kumi na moja alfajiri kwa nyuzi za kujimwambafai.
Raia wanaanzisha mada za "Niko Five star hotel Dubai..nakunywa capuchino ya Brazil huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.