JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tangu tumekubaliana kuhusu ndoa sikuoni ukilifurahia hili jukwaa kama zamani, nadhani huu ni utii kwangu mume wako mtarajiwa na utii kwa ajili ya ndoa pia. Nilitegemea mwezi huu nikipokea rejesho...
7 Reactions
46 Replies
1K Views
Aristotle alifundisha zipo kazi za aina tano: ukulima, mifugo, ujambazi, uvuvi, na uwindaji. Anasema wakati mwingine kazi zinaweza kuunganishwa: kwa mfano kazi ya ukulima unaweza kuichanganya na...
1 Reactions
4 Replies
337 Views
Ukiachana na pesa na mishe za kutafuta pesa mimi huwa na priotize sana Amani (Peace of mind), marafiki wafaida pamoja na Heshima. We vitu gani vina umuhimu kwako?
2 Reactions
9 Replies
377 Views
Hivi ni mimi tu au? Siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la bans. Watu wanalimwa ban shoto kulia. Na nyinyi mmeliona hilo? Halafu kuna mods wawili ambao ni wachemkaji sana ila mmoja...
5 Reactions
124 Replies
8K Views
Hell Katika maisha tumepitia mengi sana na kukutana na watu tofauti Boss wangu wa kwanza alikuwa wakike huyu alikuwa mkali sana ukikosea kidogo ana kusema mbele za watu akimaliza ana kuambia...
6 Reactions
30 Replies
986 Views
Kwa unavyojijua, mwanao akutegemee zaidi kwenye home works za somo gani!? Mimi mwanangu kwenye Hesabu maskini nitamuabisha 🤣
3 Reactions
39 Replies
1K Views
Moja ya ndoto ya mwanadamu ni kuishi maisha mazuri yenye mafanikio amani pia Pia sehemu ya kuishi au mkoa ni Moja ya ndoto ya watu wengi kutokana na fursa za eneo Hilo ikiwemo Bata nyingi, hali...
5 Reactions
45 Replies
1K Views
Kuna sehemu nimeona tangazo la kazi, na hakuna mtu aliyeomba; sasa najiuliza hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi? Wanahitajika:- Wachoma mahindi nafasi 2000 Watembeza kahawa maeneo...
14 Reactions
109 Replies
3K Views
Tukifika Mbinguni kuna Maisha ya milele Milele ipoje? Yani siku haziishi tumezoea kuna Matukio gani yanatokea huko?
2 Reactions
7 Replies
217 Views
Happy Birthday to the one super lady! 🎉 You're the perfect mix of brilliance, strength, and fun. Keep being amazing, because you're simply unstoppable! Hongera sana financial services 🎂 🍾 🥂...
21 Reactions
137 Replies
4K Views
Haya tuchangamke wadau uzi tayari🤣
1 Reactions
1 Replies
223 Views
Heshima kwenu wakubwa zetu Smart911 na Mahondaw Mimi Kijana Masikini na Mpenzi wangu Marry Diana tunaomba mtupe siri ya mafanikio juu ya kudumu kwenu kwa muda mrefu kwenye Mapenzi. Tunajuwa...
12 Reactions
67 Replies
1K Views
Happy birthday 🎉 to me.. Happy birthday to me mama mchungaji wa JF... Asante Mungu kwa kuniongezea zawadi ya mwaka mwingine... NB: Ujana wangu umeurejesha kama Tai Swali: Je, wewe Ujana wako...
19 Reactions
49 Replies
1K Views
Kama umeniroga awee Siambiwi kwawee Overdose me Your love dey overdose me Paa pee pii papapuu Your love dey overdose me paa pee pii papapuu Overdose Joanah usiuchoshee huu moyo Joanah upoze huu...
12 Reactions
84 Replies
2K Views
Genuine question, matusi sio uungwana. Watu wanatumia akili zao, kipaji kuingiza hela. Je kama unamuonekano mzuri, na unatake attention ya watu, unaeezaje kugeuza hiyo attention ya watu kua...
8 Reactions
40 Replies
1K Views
Kuna restaurant niliwahi kwenda Masaki kufika tu mnafunguliwa mlango na mzigo mnapokewa nikajiambia tu bora nilibeba kadi yangu ya benki ingekuwa fedhea 😂 Pale Hyatt ni hoteli lakin...
29 Reactions
143 Replies
7K Views
Kama Mungu anajua Future yako Je Anajua utaenda Mbinguni au Motoni? Na Future inaweza ikabadilika?
11 Reactions
153 Replies
3K Views
Kwa wale tuliowakosea Jan mpaka June 31, 2025 Tunaomba tusameheane Samehe ili Mungu akusamehe Usiponisamehe unafanya maisha yako kuwa magumu, na mimi niliyekukosea kurahisisha maisha ya baadaye...
2 Reactions
5 Replies
280 Views
Wakuu, Maisha yamekuwa magumu sana, sio kwa wazee sio kwa vijana ni kila sehemu mambo yamebana Zifuatazo ni dalili zinazoashiria kuwa umeanza kupigika kimaisha 1. Ukiingia chooni unajisahau...
31 Reactions
80 Replies
8K Views
Swali gani usilopenda mtu akuulize na akikuuliza anakukera?
2 Reactions
132 Replies
8K Views
Back
Top Bottom