Masawe


Joined
Feb 12, 2007
Messages
11,649
Likes
120
Points
160

X-PASTER

Moderator
Joined Feb 12, 2007
11,649 120 160
Jamaa mmoja wa kichaga aitwae Masawe aliamua kurudi kwao kwenda kusheherekea christimas kama kawaida yao karibu wachaga wote…

Baada ya makaribisho ya hapa na pale na baada ya kupata mbege za kumwaga… Masawe alinyanyuka na kuelelea msalani, kwa bahati kule Moshi haswa vijijini watu hujisaidia migombani.

Masawe alipokuwa anaelekea migombani kufanya vitu vyake aliomba kopo ili aweke maji ili atakapo maliza haja apate kunawa. Mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo.

Masawe: alloo Mosha nipatie maji nataka kwenda msalani aisee, naona vitu vinataka kufanya kasi yake….!

Mosha: Aisee Masawe yaaanii unataka kwenda kujisaidia pamoja na maji, kwani utakawia sana mpaka usikie kiu… si wende na mbege yako basiii..?!

Masawe: Hapana aisee nikimaliza vitu vyangu nataka kupiga Makario dekiii…
 

Forum statistics

Threads 1,204,333
Members 457,240
Posts 28,152,801