Katika maisha ya kila siku tunayo yaishi, tunakutana na watu wa aina, asili, itikadi na tabia mbalimbali. Katika hao huwezi kukosa mmoja ambae maneno yake hukera na kukunyima amani. Binafi huwa...
Amani ya M/Mungu iwe nanyi.
Ebanae, binafsi mimi mtoa Mada najua na natambua kuwa wewe member mwenzangu wa JF mpaka kufikia hapo ulipo hakika umepitia na umeona mengi katika maisha yako, na...
My people hope mko poa,ngoja tubadilishe radha kidogo,maana ukifungua uzi huu paap Pole pole huyu hapa,ukifungua huku kampeni hii hapa,hujakaa sawa wanamtandao hawa hapa,aah ni shida!!
Aisee kuna...
Watu wengi wakati huu, Wamefikia malengo au kuishi katika ndoto zao kupitia maoni na ufahamu wa watu wengine, Uzi huu wa nukuu utaangazia hekima na busara mbalimbali zitakazo weza kutupatia mwanga...
"JF member" na "senior member" ni maneno yanayotumika sana katika muktadha wa majadiliano ya mtandaoni, haswa kwenye jukwaa la JamiiForums (JF). Hapa kuna tofauti kuu kati ya hizo mbili:
* JF...
Habari zenu wana Jf wote natumaini hamjambo .
Tarehe kama ya leo ilikua mwaka 2017 nilijiunga rasmi katika mtandao huu pendwa wa Jf.Mara ya kwanza kuijua Jf ilikua gugo wakati natafuta content...
Moja kwa moja..
Huu mtindo umeshamiri haswa kwa vijana unakuta mtu ameanza kukutext au wewe umeanza kumsalimia baada ya kujibu text yake inayofuata "nipange "au "niambie" mimi mara nyingi hapo...
Mbona hamjawahi jitokeza kutupa Elimu,mlianzaje,mkakomaaje,mnafanyaje na mnafaidikaje au mnababukaje na maombi ya watu wenye Imani ya kweli?
Nimeona mpo kimya sana au ndiyo kujisahaulisha tu?
Habari zenu wazeiya ,nilikuwa busy kidogo ,
Juzi nimepata fursa ya kutembelea Tanzania house in Sweden, na kumuona mzee mwenye Busara, Dr wilbroad slaa,
Kusema kweli ni mtu wa watu na ana upendo...
Kwa wale wote ambao mko nje ya Tanzania hapa panawahusu
Kwanza tunataka kujua uzoefu changamoto zenu na mnayakabili vipi maisha ya huko
Hapa tupate kujua unapendelea safari na kampuni gani au...
Hivi mnawezaje kuishi bongo, nchi ina kila aina ya changamoto na siasa majitaka, hiyo nchi inakwaza sana.
Baada ya kupata scholarships kuja kusoma huku majuu nilisema sitakuja kurudi na kuishi...
Una swali la kizushi kwangu au kwa member yoyote wa JF? njoo uliulize hapa!
Mimi naanza na hawa;
Kaka Mshana Jr - umeshawahi kushuhudia live mambo ya nguvu za giza / kichawi na ilikuaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.