Chaga Man | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chaga Man

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by X-PASTER, Dec 17, 2007.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Dec 17, 2007
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kulikuwa na washtakiwa watatu, Mmasai, Mmakonde na Mchaga. Wote waliukumiwa kufa/kuwawa kwa kukutwa na madawa ya kulevya, kule Jamhuri ya wa watu wa China. Serikali ya China kwa kuzingatia mahusiano mazuri na serikali ya Tanzania, askari magereza akawashauri wachague jinsi yanavyopenda kufa. Wakatakiwa wachague aina tatu ya jinsi ya kuuwawa. Aidha kwa bunduki, kupigwa sindano ya virus vya aids/hiv. au kunyongwa hadi kufa!!

  Mmasai akafikiri sana akasema: bwanya azkari, nipige pistori. Askari wakafyatua risasi, Mmasai akafa...!

  Mmakonde: Mimi bana achikari ninyonge bachi, niuwawee. Mmakonde akanyongwa hadi kufa.

  Mchaga. Mimi nazubiri unipatie hiyo injection ya viruzi vya aidz. Askari magereza wakampiga sindano ya virus.

  Ghafla mchaga akaanza kucheka, akacheka akacheka sana. Askari akashangaa na akamuliza unacheka nini. Mchaga akajibu:

  Wewe azkari mpumbafu zana. Aisee babangu Mimi nimevaa kondom...!
   
 2. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2007
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,278
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  hahhahahhahahaa keleuwiii nkikiii manaaaa???!!!!yan wanataka kusema wachagga ni wajinga hivyooo??huyu aliye ipost hii kama sio mpare basi tuu ana kisa na wachagga!
  anyways namshukuru kwa kunifanya nicheke kwa leo
   
 3. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2007
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nimecheka mpaka shingo ika-vibrate kwa leo inatosha
   
Loading...