Dada yangu ukikutana na mwanaume amevaa kofia kama hii, kaa naye mbali.
Watu wanaovaa kofia hizi, kila mwanasiasa maarufu alisoma naye shule moja Tosamaganga au Galanosi, ukimkopesa pesa ndio...
Maisha Yana story ndefu,
Nilipenda kusoma science, sema nilikutana na matopic magumu sikuchelewa kukimbia.
Kwanza namlaumu huyo aliyetunga topic ya maths ya LOGARITHMS 😅 Aisee hili jiwe me...
Wasalam wakuu.
Katika hali ya kushtukiza na kuchanganya leo hii nimekuta application ya jf kwa simu ya mama..
I don't know ni nani kamwekea hii application au imekuaje kuaje.
Nimeshindwa hata...
Uongo upi unausikia mara kwa mara? au umesikia mwanamke au mwanaume anaambiwa au amekuambia.
CC:
uzuri_hatujuani
Castle_Lite
secretarybird
50thebe
Poor Brain
Khanji kapoor
Wakuu, Kwanini unatumia mtandao wa simu Ulio nao sasa? Ni criteria zipi zilikufanya Uchague namba ya simu ya mtandao fulani kama namba yako kuu?
Je incase ume attain Popularity una handle vipi...
Asalaam Wakuu,, moja kwa moja Uzi tayari
Tujikumbushe Ubabe na Uhuni wa Zamani Mashuleni,,Taja Watu walio Vuma na kutikisa kwa Majina, Miaka hiyo Ukiwa Skuli
Moja ya changamoto nillmezipitia ni kukaa na waswahili Nyumba za kupanga (Wanawake mbaya zaidi hawajasoma hawana Elimu .
Kwanza wachafu
Wambea
Wanawivu
Wana nguvu hasi
(Negative energy)
Kuhusu...
Kuna jamaa hapa kijiweni kasema kama ulikuwa hauna unafuu kabla ya 2015, umebakia hivyo hivyo had hii sasa yan unaishi kwa mishe to mishe zisizoeleweka
Salamu wanajukwaa.
Popote ulipo Setfree unaombwa kurudi jukwaani ushushe elimu ya kiimani.
Uwepo wako ndio mafanikio ya injili hapa JamiiAfrica.
Wewe na mama mchungaji Donatila elimu yenu ni...
Asanteni kwa majibu ya uzi wa jana, nimeona nakidhi vigezo vyote vilivyotajwa na napokea jina la “mshangazi”.
Haya niambieni hawa vijana wa 2000 nao wana sifa zipi. Ambao mmeshapata uzoefu nao...
Kwenye maisha tunakutana na Mambo mengi yapo yenye kutufurahisha na kutuhuzunisha.
Japo Kuna baadhi ya vitu ambavyo huwa vinatupa nafasi ya kuwa watu wengine kabisa. Mfano
👉I kwangu ni jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.