JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sio Kila mtu ana kumbukumbu nzuri za utoto wake. Wengine tumepitia life gum Sana utotoni. lakini hata hivyo hatukosi Jambo la kutufurahisha Kila tukumbukapo maisha ya utoto tukiwa shule. Jambo...
7 Reactions
69 Replies
2K Views
Nakumbuka enzi hizo hicho kitabu kilikua Cha kujifunza kusoma Sadiki na chitemo[emoji4] Darasa la tatu shairi la" karudi baba mmoja" lilikua matata Sana. Tulikata dumu na kutengeneza...
8 Reactions
117 Replies
14K Views
1. Member wengi wa JF wanamiliki ID zaidi ya moja 2. Member wengi wa JF walianza kuwa visitor kabla ya kujiunga 3. Member wengi wa JF hupenda kushinda jukwaa la siasa, jukwaa la mapenzi na...
16 Reactions
130 Replies
5K Views
Mwezi wa sita ndio uhu mwezi wa production single ndio tuna pata shida na maduveti 😔 usiku mkubwa
5 Reactions
45 Replies
857 Views
0 Reactions
0 Replies
132 Views
Jomba relax... manzi ako tuko nae hapa Dom kwenye mkutano mkuu wa chama pendwa CCM. Ni mgeni mwalikwa kwenye huu mkutano. Si unaona wasanii kibao wamekuja kuhudhuria? Hata wewe ungepata mwaliko...
10 Reactions
19 Replies
1K Views
Shalom jukwaa! Nilipokuwa mwanfunzi nilikuwa nina tabia ya kutofika shuleni kwa sababu nilikuwa sipendi shule kuliko kitu chochote kwa kipindi kile lakini wazazi walikuwa wananilazimisha kwenda...
36 Reactions
172 Replies
4K Views
Leo ndo ninemegundua Tatizo langu kubwa ni kutopenda kumpa mtu pesa. Nimeombwa pesa ya Kununulia umeme nikamwambia Tuma miter namba, kilichofuata mtu kaka kimya hajibu sms Wala simu Hapokei. Baada...
13 Reactions
42 Replies
2K Views
Baada ya mbunge Taiduna kuwaita Watanganyika " kenge" wa ndani. Wacha tujadili tabia za kenge, usikute kweli sisi Watanganyika ni kenge 1. Kenge ni kiumbe kinapenda kujifananisha na mamba. Hapa...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Hivi hawa wanyama wamewakosea nini binadamu kunasibishwa nao? Kwa nini isiwe tembo, simba au twiga? Watu wakiwa na makasiriko huita wenzao majina hayo kwa nini?
7 Reactions
23 Replies
717 Views
Kwema? Wana jf hamjambo? Kazi nyingine mabos... bosi kanipa kazi nipige skruu mbao kwenye dari dakika mbili namuaona yuko chini ananiangalia anaoana nafaidi sana. Udenda tiriri anataka kazi...
3 Reactions
40 Replies
1K Views
Should long-term partners know each others' phone passwords? (Je, wapenzi wa muda mrefu wanafaa kujua nywila za simu za kila mmoja?) --- Chaguo lako ni lipi. Weka comment na eleza kwanini? 1...
3 Reactions
16 Replies
548 Views
Miaka ya 80 Wazee wangu walisumbuliwa na mauzauza pia na maradhi yasiyoisha, Basi siku moja wakasikia kuna mganga ametoka Uganda anatumia (Amaembe)Mapembe sijui niite hivyo ila kwa wakazi wa...
3 Reactions
4 Replies
596 Views
Nakumbuka wakati naanza safari yangu ya kitaaluma pale Eden Valley primary school iliyopo buswelu mwanza, moja ya kitu kilikuwa kinanishangaza kuhusu hawa wakenya ni kitendo chao cha kunywa uji...
6 Reactions
21 Replies
864 Views
Wakuu, Kila mmoja wetu humu jukwaani ana stori yake ya kuvutia,kusisimu na kushangaza ya kwa nini alijiunga jf! Wapo waliovutiwa na stories za mapenzi,siasa,michezo nk. Kwa upande wangu stori...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Wife kajifungua salama kabisa, with no any complications OK. Jina gani Zuri la mtoto wa kiume , la kikristu , Lianze na alphabet A
4 Reactions
115 Replies
4K Views
Hiyo namba ndio mwaka wangu wa kuzaliwa,ulivyokuwa na hamu ya kujua Etugrul Bey ana miaka mingapi utapiga hesabu bila aibu ujue nina miaka mingapi,usijichoshe hii may nimetimiza miaka 46,je kuna...
38 Reactions
274 Replies
7K Views
Huku kuna baridi sana, Nimepita dukani nikachukua Four Cousins nipige. Baadae nakumbuka ninatumia Cold-Off Capsule. Daah basi bwana
1 Reactions
2 Replies
238 Views
Habari wakuu. Uzi huu ni kwajili ya Quotes Mbali Mbali Kwa watu mashughuli duniani ambao bado wapo Hai na wengine waliotangulia kwenye ulimwengu mwengine.
1 Reactions
11 Replies
630 Views
Back
Top Bottom