JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Imagine paja laiiiini hapo kakaa anaosha vyombo mara paaap umetokea Mzee then anahangaika kubana miguu dah dingi la mbinguni Mimi jamani.
7 Reactions
48 Replies
2K Views
Amani ndiyo msingi mkuu katika maisha yangu! Kwa hapa nilipofikia,napenda kuwashukuru hawa wafuatao: Asante mama! Asante Elimu Asante Kikwete, Magufuli na Samia (mshahara huu) Asante...
22 Reactions
104 Replies
2K Views
Asubuhi na mapema nimeamka zangu na wenge la usingizi, Nakuta message mbili kwenye simu yangu, Nikasoma ya kwanza inaniambia kwamba, "Ndugu samahani nimekutumia bahati mbaya SH 500,000, Nimejaribu...
2 Reactions
9 Replies
410 Views
Nakaambia kademu kangu ka 2005 kuwa nipo geto nimejilaza kwenye mkeka, eti kanasema "mkeka ndo nini au ndo zile ngozi waliolalalia slaves (watumwa) ? 🤣🤣 Aisee dunia inabadilika kwa kasi sana
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Nimejaribu kiwasiliana nanyi lakini hamsomi sms zangu and mmenizuia jukwaa la Complaints how can i reach you guys!?. Najua sio Ban ningekuwa na taarifa lakini please please return my Account there...
0 Reactions
7 Replies
633 Views
Maisha kuna muda ni mazuri nyie,acheni tu. Siyo lazima uendeshe gari kubwa ,uwe na pesa nyingi hapana. Namaanisha uwe na Amani ya moyo pamoja na pumziko la nafsi. Leo tangu asubuhi baada ya...
11 Reactions
90 Replies
3K Views
Mm kwa wiki ni maramoja ikizidi basi mara 2 tu Pia naomba kujua faida na hasara za kuoga kila mara na kutokuoga kila mara.
3 Reactions
22 Replies
859 Views
Najaribu kutafuta mtu wa kugombana naye sipati. Nimezoea humu JF atajitokeza mtu tutatukanana siku au weeks hapo najisikia saaaaafi kabisa. Hawa jamaa kwenye forums zao na maofisini wapo busy...
7 Reactions
16 Replies
852 Views
Siku ya leo Ijumaa Nilipofika nyumbani nikiwa naitoa simu kwenye mfuko ghafla ikaanguka sakafuni. Vile nimeinyanyua na kuiwasha haiwaki kabisa kuna vidoti tu vinatoa mwanga nikajikokota kwa...
10 Reactions
57 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wana.. Huku duniani kuna watu nahisi wana matatizo ya kiakili na wanahitaji kumuona daktari. Kuna hizi tabia nachukia sana kama mtu kuongea na mimi hadi akusonge...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Je ni mkoa gani wa kwenda kuanza maisha?
0 Reactions
12 Replies
669 Views
Wadau labda huenda mimi nazeeka Vibaya au nimepitwa na wakati Kwa mtazamo wangu naona kama haiko poa mwanaume kujisave picha yako kwenye screen ya simu halafu kila wakati unajicheki au mimi ndio...
20 Reactions
160 Replies
4K Views
Mm nilikuwa na uraibu wa karata na drafti ilikuwa haipiti siku sijafanya hii michezo ila kwa sasa hata nikikuta watu wanacheza sitamani tena kucheza kabisaa.
0 Reactions
11 Replies
510 Views
kuna nguvu ya ajabu kwenye kufanya mambo kimya kimya_ Jifunze kuwa mbinafsi kwa njia sahihi. Kuwa mbinafsi sio ubaya – ni ulinzi wa ndoto zako. Ni kukataa kupoteza muda kwenye kelele za watu...
2 Reactions
1 Replies
248 Views
Malegends, Naombeni list nina kazi nayo personally.
8 Reactions
67 Replies
4K Views
Wakuu, kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, this weekend nitakuwa Kilwa(Lindi) nataka nitembelee hii miji mikongwe ya kilwa yaan kilwa Masoko na Kilwa Kivinje.. Naomba kufahamishwa maeneo ya...
2 Reactions
8 Replies
366 Views
Back
Top Bottom