JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tarehe kama ya leo, mwezi wa kwanza, mwaka 2011 (6th Jan 2011), Nilipata fursa ya kujiunga na Jamii Forums. Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kudumu humu jamvini mpaka sasa .. SABABU YA KUJIUNGA...
20 Reactions
302 Replies
16K Views
Wakuu! Niongezee sautii ama? Kitimoto inaliwa na wenye pesa tu ndugu mheshimu
10 Reactions
127 Replies
4K Views
Nothing more
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakaangaji na wachomaji kitimoto wa bongo ni kama hawajui viungo vingine vya kuweka katika nyama pendwa zaidi ya tangawizi tu. Nyama nyeupe kama za kitimoto, kuku na Samaki zinanoga zaidi mpishi...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Kuna wanaume wana moyo mgumu hivi unaoaje mwanamke kakuzidi urefu , mi naona kama kuna dharau fulani hivi inakuwepo , usishangae siku mke wako akukuita we dogo
12 Reactions
48 Replies
2K Views
Nasikia bado zipo usukumani😂
10 Reactions
18 Replies
952 Views
Ni lini mara ya mwisho hali hii ilikutokea na nini kilisababisha? Kwangu: Mtu aliniongelea karibu sana sikioni. Nilisikiliza cover ya wimbo wa "Baby can I hold you" wa Tracy Chapman. Orgasm...
14 Reactions
177 Replies
4K Views
Katika kutambua vipaji vyao, nitakuwa nashindanisha stori (script) ya dakika 60 kwa wale wote wenye vipaji. Na atakayekuwa mshindi kila mwezi, atazawadiwa shilingi 200,000/= .Atakayeshika nafasi...
2 Reactions
5 Replies
251 Views
Hii imenipa maswali sana kwahy jux hawezi kabisa kubebesha mwanamke mimba kwa picha nilio iona ni kwamba mwanamke kavaa zile mimba bandia inaonyesha kabisa na huyo aliyetuma picha hizo kwa group...
11 Reactions
65 Replies
2K Views
Niko njia panda naagaje kwenda kusapua course 1 ilinikamata na wazazi wanakuja fika vyuo vikuu vinafunguliwa mwezi 10 Sasa Mimi nasapua mwanzoni wezi wa 9 Nimebuni mbinu hizi ila wapi...
7 Reactions
39 Replies
893 Views
Kwani ni lazima maharusi kucheza siku ya sherehe ya ndoa yao, kama haujui si ni heri mtulie tu kuliko kujidhalilisha kama hivi😅😅😅
18 Reactions
94 Replies
3K Views
Hivi ulishawahi mpigia mtu simu, alafu kimoyo moyo unaomba asipokee Ili badae umlaumu kwanini hakupokea.
4 Reactions
6 Replies
278 Views
Me as a father on my way to embarrass my children at school meeting.
3 Reactions
7 Replies
432 Views
Mtu anakutumia msg naomba pesa kiasi flani. Unamwambia subiri nina mgonjwa nimemleta Hospital. Anajibu "Haya" Kesho yake anakutumia "mbona kimya?" Unamwambia jana ulirudi late sana yule...
14 Reactions
43 Replies
2K Views
kwa upande wangu sikawahi kutana nae ila nisikia ni hatare sana na wanasema sana sana anptkn Tabora, kanda ya ziwa ,Dodoma na Mbeya Kama ushawahi kutana nae share nasi tujifunze😁
11 Reactions
231 Replies
8K Views
Pepsi tuwape maua yao soda ya pepsi ikiwa ya baridiiiiii ukishusha kwenye koo kuna ka msisimko una kuja sijawai pata soda kama pepsi haina mshindani kabisa
19 Reactions
79 Replies
2K Views
Utani wa Feisal Fei Toto na wachezaji wenzie wa Taifa Stars, akiwa anakula chakula cha wenzie na kusema kuwa hana hela. Ni kweli Feisal hana hela?😅
2 Reactions
3 Replies
351 Views
Hivi kwanini mtu anapoitwa kwenye public or sehemu yoyote then akawa hana uhakika kama ni yeye ndio anaeitwa akigeuka na kusema Mimi lazima kidole chake kielekee kifuani, iwe kwa kugusa kabisa...
17 Reactions
95 Replies
3K Views
Nilichojifunza 2025 Nguvu ya mwanaume ni PESA tu, hata uwe na umri, akili & busara kiasi gani kama huna Pesa ni bure tu! 2026 Resolutions Kila kitu kinawezekana, tuwekeze nguvu na akili...
7 Reactions
5 Replies
637 Views
Back
Top Bottom