Wananchi wa malawi hii wiki tukikaa kizembe tutafaint na hizi bandika bandua, haya tupumzike kidogo.
Naandika kwa masikitiko, kwa mnaofanya mazoezi, naombeni mnijibu kwa experience na ushuhuda...
Nasikia Mbezi kuna sehemu inaitwa Msigani, Kwa God na Mbezi Luxury,
Kuna Kiwanja gani kingine maeneo ya Mbezi maana week kesho kutwa napata likizo ya kuwa Tanzania kwa miezi 2.
Tupeane...
Ni Toto moja la kimasai nimelipata sehem moja maeneo ya Kimara ,kwao geti kali sana,.juzi tukapanda pipa hadi arusha kwao then tukapanda Noah za namanga, tukafika mpakani wakasema lazima turudi...
Siku nzuri wakuu!
Watasha wanasema "learning is the continuous process from cradle to grave" kujifunza ni kitendo cha kuanzia unazaliwa hadi unakufa..hakikomi..Leo tujifunze hiki kinachowasibu...
Naam shukran zangu za dhati ziende kwa kaka min- me nilijunga jf mwaka huu akawa wa mwazo kunikakaribisha na amekua aki comment na ku like post zangu nyingi.
Hii inanipa motisha na hamasa ya...
Jana nilikuwa bar moja natafuta usingizi wangu ghafla nikasikia haja ndogo nilipoingia chooni nikakuta mwamba mmoja akihesabu mzigo wake wa kumikumi nikajua huyu jambo linaenda kumkuta...
Shindano liwe la wazi na lifanyike kwenye uwanja wa wazi, kina Mwamposa, Kuhani Musa, na walokole wengine konki, wakashindane na wachawi konki kama Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume na wengine...
Watoto wenye umri kati ya 4 hadi 7 ni exquisitive/curious saana. Huu ndiyo umri wao wa kuanza kuchukuza ulimwengu unaowazunguka na ubongo unakua kwa kasi saana.
Kama wewe ni mzazi/mlezi/kaka au...
Wakuu,
Hawa wenzetu wana ujasiri sana mtu unawezaje kuendesha chombo kama hiki kwenye eneo hatari kama hili?
Mimi hii sijaribu labda mnipeleke mental hospital
Alafu Watanzania sionagi...
Hawa vijana wa siku hizi kama mnashindwa kupata wachumba kwa nini msikwende kwa wazazi wenu wawatafutie wachumba.
Yani kama hiki kipindi kinauzunisha sana kwa hawa vijana.
Niko na miaka 28 sasa na naishi kwangu na kazi zangu ila nimekuwa addicted kula kwa watu.
Yaani nimejaribu kuacha hiyo tabia ila najikuta kila siku lazima nitafute nyumba walau niende nikadoee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.