JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ukimaliza kunyoa uosha kichwa na maji yenye chumvi
4 Reactions
5 Replies
392 Views
Kwa kawaida maisha yetu hutegemea mzunguko wa saa 24, kati ya hizo saa 12 ni usiku, leo nakuletea sehemu sita ambazo jua huwa halizamii kabisa usiku na mchana, twende pamoja.
5 Reactions
26 Replies
995 Views
Wakuu habari, Hivi hawa wenzetu wanaofunga Dm zao mnawaelewa kweli ?
8 Reactions
21 Replies
700 Views
Baada ya kumsikiliza huyu jamaa nimeelewa vitu vingi sana. Mwenye bebi wake aje kumchukua huku
4 Reactions
10 Replies
556 Views
Wakuu mi niseme tu ukweli nikikutana na binti mrembo halafu awe ame pass like a shadow huku nyuma naanza kumuonea huruma. Naanza kumsikitia nikiwaza jinsi anavyojifiria anapokutana na wenzake...
11 Reactions
644 Replies
44K Views
Karibuni home tufuge wote sasa Hhh
7 Reactions
27 Replies
883 Views
💭 💭 💭 💭 💭 💭 Kama una hicho chuma hapo juu, basi pokea pongezi zangu.🙌🏻
5 Reactions
39 Replies
999 Views
Wasalaam. Hii ni Kwa wanaume wenzangu japo hata akina dada,mama mnaweza toa ushauri. Iko hivi, Juzi, yaani jumamosi, Nilijichanganya kwa kuhisi nimepotelewa na kifaa changu ndani cha muhimu...
14 Reactions
38 Replies
1K Views
Habari wadau. Juzi niliona shati kali na suruali (jeans) poa sana kwenye akaunti moja hivi ya mfanyabiashara wa Instagram huko. Nika contact naye na nikalipa kabisa kupitia lipa namba yake...
15 Reactions
17 Replies
709 Views
Katika maisha ya kila siku tunayo yaishi, tunakutana na watu wa aina, asili, itikadi na tabia mbalimbali. Katika hao huwezi kukosa mmoja ambae maneno yake hukera na kukunyima amani. Binafi huwa...
2 Reactions
3 Replies
208 Views
Amani ya M/Mungu iwe nanyi. Ebanae, binafsi mimi mtoa Mada najua na natambua kuwa wewe member mwenzangu wa JF mpaka kufikia hapo ulipo hakika umepitia na umeona mengi katika maisha yako, na...
6 Reactions
36 Replies
1K Views
My people hope mko poa,ngoja tubadilishe radha kidogo,maana ukifungua uzi huu paap Pole pole huyu hapa,ukifungua huku kampeni hii hapa,hujakaa sawa wanamtandao hawa hapa,aah ni shida!! Aisee kuna...
13 Reactions
51 Replies
1K Views
Na usafi nimepiga wa maana geto🥹
15 Reactions
51 Replies
2K Views
Nimemuwish siku yake ya kuzaliwa nikamtania kama hivyo amekasirika hata sms hajibu tena.
3 Reactions
44 Replies
1K Views
Watu wengi wakati huu, Wamefikia malengo au kuishi katika ndoto zao kupitia maoni na ufahamu wa watu wengine, Uzi huu wa nukuu utaangazia hekima na busara mbalimbali zitakazo weza kutupatia mwanga...
2 Reactions
18 Replies
577 Views
"JF member" na "senior member" ni maneno yanayotumika sana katika muktadha wa majadiliano ya mtandaoni, haswa kwenye jukwaa la JamiiForums (JF). Hapa kuna tofauti kuu kati ya hizo mbili: * JF...
19 Reactions
70 Replies
4K Views
Back
Top Bottom