JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
😅😅
18 Reactions
78 Replies
2K Views
Habari zenu wana Jf wote natumaini hamjambo . Tarehe kama ya leo ilikua mwaka 2017 nilijiunga rasmi katika mtandao huu pendwa wa Jf.Mara ya kwanza kuijua Jf ilikua gugo wakati natafuta content...
14 Reactions
52 Replies
2K Views
Moja kwa moja.. Huu mtindo umeshamiri haswa kwa vijana unakuta mtu ameanza kukutext au wewe umeanza kumsalimia baada ya kujibu text yake inayofuata "nipange "au "niambie" mimi mara nyingi hapo...
9 Reactions
57 Replies
5K Views
Mbona hamjawahi jitokeza kutupa Elimu,mlianzaje,mkakomaaje,mnafanyaje na mnafaidikaje au mnababukaje na maombi ya watu wenye Imani ya kweli? Nimeona mpo kimya sana au ndiyo kujisahaulisha tu?
44 Reactions
685 Replies
12K Views
Habari zenu wazeiya ,nilikuwa busy kidogo , Juzi nimepata fursa ya kutembelea Tanzania house in Sweden, na kumuona mzee mwenye Busara, Dr wilbroad slaa, Kusema kweli ni mtu wa watu na ana upendo...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Kwa wale wote ambao mko nje ya Tanzania hapa panawahusu Kwanza tunataka kujua uzoefu changamoto zenu na mnayakabili vipi maisha ya huko Hapa tupate kujua unapendelea safari na kampuni gani au...
10 Reactions
143 Replies
13K Views
Hivi mnawezaje kuishi bongo, nchi ina kila aina ya changamoto na siasa majitaka, hiyo nchi inakwaza sana. Baada ya kupata scholarships kuja kusoma huku majuu nilisema sitakuja kurudi na kuishi...
6 Reactions
29 Replies
1K Views
Una swali la kizushi kwangu au kwa member yoyote wa JF? njoo uliulize hapa! Mimi naanza na hawa; Kaka Mshana Jr - umeshawahi kushuhudia live mambo ya nguvu za giza / kichawi na ilikuaje...
20 Reactions
468 Replies
11K Views
Habari wakuuu, Naweza kusema mimi sio mkongwe sana, nimejiunga hapa jukwaani mwaka 2018, tokea nimejiunga apa members niliowaexperience kusoma mada na michango yao mingi ni wafuatao...
34 Reactions
383 Replies
18K Views
Salaam wakuu, siku ya Jana nili pata wageni ambao ndio mara yao kwanza kuja bongo, na kwakuwa wame kuwa waki sikia story za ubabe, nguvu za vijana wengi wa kitanzania. Wame niomba niandae...
18 Reactions
160 Replies
5K Views
Mnao tafuta Hela mnazitoa wapi mbona huku sizioni Mnafanya nini au mnachapisha pesa
3 Reactions
10 Replies
472 Views
Imagine paja laiiiini hapo kakaa anaosha vyombo mara paaap umetokea Mzee then anahangaika kubana miguu dah dingi la mbinguni Mimi jamani.
7 Reactions
48 Replies
2K Views
Amani ndiyo msingi mkuu katika maisha yangu! Kwa hapa nilipofikia,napenda kuwashukuru hawa wafuatao: Asante mama! Asante Elimu Asante Kikwete, Magufuli na Samia (mshahara huu) Asante...
22 Reactions
104 Replies
2K Views
Asubuhi na mapema nimeamka zangu na wenge la usingizi, Nakuta message mbili kwenye simu yangu, Nikasoma ya kwanza inaniambia kwamba, "Ndugu samahani nimekutumia bahati mbaya SH 500,000, Nimejaribu...
2 Reactions
9 Replies
406 Views
Nakaambia kademu kangu ka 2005 kuwa nipo geto nimejilaza kwenye mkeka, eti kanasema "mkeka ndo nini au ndo zile ngozi waliolalalia slaves (watumwa) ? 🤣🤣 Aisee dunia inabadilika kwa kasi sana
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Nimejaribu kiwasiliana nanyi lakini hamsomi sms zangu and mmenizuia jukwaa la Complaints how can i reach you guys!?. Najua sio Ban ningekuwa na taarifa lakini please please return my Account there...
0 Reactions
7 Replies
631 Views
Maisha kuna muda ni mazuri nyie,acheni tu. Siyo lazima uendeshe gari kubwa ,uwe na pesa nyingi hapana. Namaanisha uwe na Amani ya moyo pamoja na pumziko la nafsi. Leo tangu asubuhi baada ya...
11 Reactions
90 Replies
3K Views
Mm kwa wiki ni maramoja ikizidi basi mara 2 tu Pia naomba kujua faida na hasara za kuoga kila mara na kutokuoga kila mara.
3 Reactions
22 Replies
855 Views
Back
Top Bottom