JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tunaamini vibaka, wezi, wahuni, na watu wasiokuwa na tabia njema, nao pia huzeeka. Je, katika uzee wao, huwa tunawachukuliaje, kuna cha kujifunza chochote kutoka kwao? Je ni sahihi kuwaheshimu?
6 Reactions
72 Replies
723 Views
Nikisikiliza wimbo wa Kindamba kuniambia twende huwa najiuliza wanaoimbwa majina yao negatively wanajisikiaje? Mfano wimbo wa Yahaya wa Lady Jay Dee. Na mara nyingi ni waislamu ona mifano. 1...
5 Reactions
12 Replies
285 Views
Ugali ni mlo maarufu shuleni kipindi tunasoma miaka hiyo Binafsi nimehitimu kidato cha nne 2009 Ugali uliitwa 1. Bondo 2. Cha Kikwete 3. Nguna 4. Muvero
8 Reactions
75 Replies
2K Views
Salamu na salamu za muda huu ni mimi kwa mara nyingine niliye mdogo kuliko ila ni mwingi wa hekima, busara, ucheshi wa faida na maarifa yaliyo mema ninawasalimu na kuwaandikia wakuu. Itikieni...
4 Reactions
15 Replies
524 Views
Binafsi Nashukuru 🙏🏿, sasa USIHOFU, kaza!
2 Reactions
55 Replies
400 Views
Hii itawafanya wanao wawe na critical thinking and creative thinking. Maana ukiangalia watu wengi hawajui namna ya kufikiria.
8 Reactions
24 Replies
329 Views
Chagua upande kisha weka hoja makini, sifa, wema, ubaya, uzuri ujanja, mahusiano, mitazamo na maono ya kila upande.. Jitahidi usiweke kejeli za kuudhi sana.. Matusi na dhihaka zinazokera. Tuepuke...
20 Reactions
930 Replies
81K Views
Leo nimepata wasaa wa kupiga story na mzee wa kiafrica akanimbia kwa umri wake wa miaka 90 hajawahi kuona uchawi toka amezaliwa anasikiaga tu. Just imagine mzee wa miaka 90 hajawahi kuona hicho...
6 Reactions
19 Replies
266 Views
Maisha hakika yana siri haya ukiona mwenyezako anapambana hakika mpe hongera yake Nina brother yangu kila siku anatuaga kuwa anakwenda kazini anafanya kazi sokoni uko kumbe kazi yake yeye ni...
16 Reactions
22 Replies
478 Views
Kila chenye mwanzo huwa kina mwisho. Nimebakiza miaka 40 ya kuishi hapa duniani, unanishauri nifanye nini au niishije ishije kwenye hiyo miaka 40 huku nikipata furaha ya nafsi?
6 Reactions
60 Replies
641 Views
Kuna siku mimi na marafiki zangu tuliendaga shamba la shule tukaiba tikiti. Tulichagua kubwa kuliko yote, tulikuwa watu wannne na lile tikiti lilikuwa kubwa ikabidi tukatafute wheelbarrow tuje...
5 Reactions
3 Replies
151 Views
Niliwahi kuwa na rafiki ambaye tulikuwa karibu sana kipindi tukiwa chuo. Sasa kuna siku niliibiwa simu ikabidi nitamtafute mpenzi wangu kupitia simu yake nimpe taarifa. Nikaja kununua simu lakini...
10 Reactions
36 Replies
662 Views
Visiwani huku nimekutana na haya matunda wanaita Shokishoki, Kwa kuwa nafuata ushauri wa Dr. Janabi kwenye lishe basi nikasema acha niulize haya ni matunda Gani na niyanunue (sijawahi kuyaona...
5 Reactions
18 Replies
320 Views
Nilizoea kukuta menu za kawaida kama wali maharage, pilau nyama, wali mboganboga na kadhalika. Nilipoenda Dodoma kuna migahawa nikakuta wanauza wali ugali nilishangazwa nikijaribu lakini...
6 Reactions
15 Replies
321 Views
Hivi wanangu mnaanzaje kuandika maneno kama haya mkitaka watu wawa wish? Are you okay au dish limeyumba somewhere!?
8 Reactions
131 Replies
3K Views
kama ni kichwa panzi utalewa week Moja Old Milwaukee beer ni tamu sana ikipita kwenye koo😂
17 Reactions
149 Replies
1K Views
Amaa kweli kuwa uyaone... Huu ndio mtaji wangu ambao utabadilisha maisha Yangu. Hii ni elfu Saba za kitanzania Nipeni mbinu za kukuza mtaji wangu wakuu
7 Reactions
49 Replies
2K Views
Ninakumbuka nilikuwa nikifika darasani nalala juu ya dawati maana ilikiwa ni lazima kulala kama mwalimu hayupo na usipolala unaandikwa jina na kuna adhabu. Mimi pamoja na kulala nilikuwa...
79 Reactions
159 Replies
6K Views
Back
Top Bottom