Nimemaliza chuo Jana, huu ndio mtaji wangu...

Nimemaliza chuo Jana, huu ndio mtaji wangu...

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,247
Reaction score
6,615
Amaa kweli kuwa uyaone...
Huu ndio mtaji wangu ambao utabadilisha maisha Yangu.

Hii ni elfu Saba za kitanzania
Nipeni mbinu za kukuza mtaji wangu wakuu
1000139288.jpg
 
Unanitisha!!
Sikutishi ila unatakiwa uwe teyari utapitia vipindi vigumu sana na pengine hujawahi kupitia hapo kabla kwenye maisha yako maana sasa unaingia kupambana na reality ya maisha yako kuvuka stage uliyonayo na kwenda stage nyingine hasa ya kiuchumi sio masikhara inaweza kukuchukua muda sana ukabaki na uzuni utatengwa na rafiki hadi ndugu zako wa tumbo moja watakugeuka once umejipata watarudi kwa speed ya radi..

Haya ninayokwambia ni kweli Unless uwe unatokea maisha bora
 
😂😂😂😂😂😂 mkuu hi seriously kama upo dar nambie chap nikuunge na huu mchongo
 
Pesa sio issue kwakuwa Even if you could a lot of money bado mambo hubadilika Ila fikiria how to use skills in making life and money .
 
Back
Top Bottom