Wakuu wakrislam wote nawasalimia Asalam haleluya 🫱🫲 nataka kuuliza hivi aliegundua asali alikuwa anawaza Nini.... Je kwa kabila mnaitaje,kwetu tunaiita.........
Watu wengi wakikuona wanakuchukulia kama uko mzembemzembe wakiona ngozi yako laini na haina kash kash au mikwaruzo n.k, kumbe hawajui mtu unaweza ukawa na ngozi laini lakni ukawa mtu mgumu kweli...
Nimejaribu kutafakari kwa kina juu ya mienendo ya baadhi yetu ndani ya jukwaa hili nikaishia kuwaza;
Ndani ya hili jukwaa Kuna watu wamejipa ukuu ila ni hakika yangu ukikutana nao lazma utapigwa...
Mzuka wana Jamvi.
Busu la Kenge ni miongoni mwa member anayekuja kwa Kasi Jf na kujizolea umaarufu ndani ya mda michache.
Yote sababu ya mada zake zenye akili kubwa , mikato yake Unique jukwaani...
Nmehuzunika sikuwa najua kumbe DSM ni kubwa sana. Kuna watu wanakaaa mbali. Leo nmefika mpaka Mbagala.
Unajua maeneo ambayo mi nayafahamu ni toka posta barabara mpaka Bagamoyo. Na pia niliwahi...
Wengi tunaamini waarabu ndio wanaongoza kwa majini; kama ni kweli majini yapo, wameshindwaje kuyatumia kwenye hizi vita vya miaka na miaka kati yao na Marekani?
Umekuja mjini toka kigoma fuata taratibu za ulipofikia sio vizuri kujiamulia kila kitu hapa mjini bana sio ujiji.
Unakuta mtu anatafuna dagaa wabichi mabarabarani yaani kuweka mfukoni kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.