Kuna siku nilijaribu kumtukuza mtukufu madam na taasisi yake humu JF
Nilitaka kutupa simu na nilijiona kweli mimi sina uvumilivu tena hapo nilijiandaa
Sipati picha hao jamaa wana mioyo gani hata...
Leo Tarehe 20 mwezi wa 08 kama Leo Mimi Muyabi colors ndo nimezaliwa Najitakia siku. Njema ya kuzaliwa natimiza miaka kadhaa ndugu zangu,
Pia ruksa kusema umezaliwa mwezi na tarehe kama hii...
Huu mwezi watu wameaga sana.saiv kila siku nauza majeneza mawili au moja.kwanza jana imeondoka miili tano hapa mochari.
Nashukuru sana maana riziki saivi imenikubali sana.
Siku zimeenda sana, tarehe 9/11/2017 mwamba kabisa wa nguvu the man himself Dr. Louis Shika alitoa somo kubwa sana la kujiamini kwa wanajamii pale aliponunua majengo ya Bilionea Said Lugumi kwa...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
1: Kama Jesus walimsurubu kwa kuponya na kufanya miujiza iweje wewe ukubalike?
de Gunner amekuwa na kitu special katika jukwaa hili..
Ni mtu aliyependa ukweli, alipenda kuongea point na kuitetea...
"Don't waste your time on revenge. The people who hurt you will eventually face their own karma.🎯"
Usaorere ifre lyako o mndu ula kukoora kisasi. Wandu wala wakukorere ufi, upu upu wavone ifre...
Sisemi kwamba hawana akili kabisa la hasha nazungumzia akili kwa kipimo walau cha professor achana na akili za kiwaida tu.
Nashindwa kuweka vizuri ili nieleweke vyema lakini kwa % kubwa hawa watu...
Kaniuliza kwamba.....
Kati ya sim na biblia, ilitokea vimeanguka kwa pamoja... nitawahi kudaka nini??
Mie nimemjibu, nitaiwahi sim na kuacha biblia ianguke.
Yeye akaniuliza.... kwanini sio niwahi...
Mimi huwa naenda kwa ajili ya kusikiliza mziki wenye 'vibe' pamoja na kuosha macho kwa kuona warembo walivyopendeza. Hii inaniondolea msongo wa mawazo wa kimaisha na kuendelea kutamani kuishi...
Madame B, Evelyn Salt , Zion Daughter, FirstLady1, Nazjaz, cacico, Asha D Abinallah , Kipaji Halisi. Asprin, Arushaone , Kaka kiiza, kuna jambo letu pande hizi
Kuna mahusiano yapo kwenye methali isemayo "mvumilivu hula mbivu" but another time inageuka "ngojangoja huumiza matumbo"
"Waliochagua Nazi wakaishia koroma" wamebaki kupata na "usiache mbachao...
Chakula cha mawe" nchini China ni chakula cha kitamaduni kinachoitwa Suodiu (嗦丢), ambapo mawe madogo ya mtoni yanakaangwa na viungo kisha unanyonya ladha yake na kuyatema bila kuyameza. Chakula...
Asubuhi: Ma-Don wa Chai ya Rangi
Siku inaanza saa kumi na moja alfajiri kwa nyuzi za kujimwambafai.
Raia wanaanzisha mada za "Niko Five star hotel Dubai..nakunywa capuchino ya Brazil huku...
Sisi watanzania wote ni watani tu ,kwa desturi zetu hatuna shida tukitaniana.
Hii bato ya wachaga na wasukuma naona kama imelazimishwa mno , hakuna bato hasa ya kiuchumi kati ya hayo makabila...
Wanasayansi walipokuwa wakipanga sifa za wanyama mbalimbali , ngiri alikuwa kwenye mashimo yake kwa hiyo waliishia kuwapa mataji wanyama wasio na sifa.
Ufalme wa msituni ulienda kwa simba...