Biashara yangu ya majeneza imetiki sana huu mwezi

Biashara yangu ya majeneza imetiki sana huu mwezi

REFA WA JF

Senior Member
Joined
Jul 26, 2026
Posts
141
Reaction score
317
Huu mwezi watu wameaga sana.saiv kila siku nauza majeneza mawili au moja.kwanza jana imeondoka miili tano hapa mochari.

Nashukuru sana maana riziki saivi imenikubali sana.
 
Kama watu hawafi tunapata hasara sana ila wakifa tunapata pesa mno maana jeneza la chini ni laki
 
Mkuu mungu akujalie kwa hilo biashara iyende vizuri
 
Back
Top Bottom