Ukifanyiwa uhuni na wewe lipiza kihuni. 2020 nilikuja kukamatwa kenya kisa sina passport hadi nikajaribu kuwapa laki wakakataa kuwa niwape 1m coz nimeingia illegaly hiyo ni imigration case...
Last week
1. Seran
2. ShesRise_1
3...?
Hawa waliongoza kwa kufunguliwa nyuzi
Kiumeni
1. min -me
2. chai ya rangi
3.. ?
Hawa wamemaliza wiki vibaya kwa majanga
Pongeza wa kumpongeza.. Mpe...
Mwanzo 38:9
Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.
Habari za jioni wana jamii Naju
a Wapo Wengi Wanao Pigana Vikumbo Huko Pm Kukuwania Wewe... Najua Umeshatamkiwa Sana neno nakupenda na Bado Unaendelea Kumtakiwa Kila Siku Iendayo Kwa Mungu...
Ukichelewa kurudi nyumbani ni shida,ukiomba unyumba unapewa kwa manyanyaso.Ukikutwa unaongea na mwanamke mwingine hata kama ni mambo ya kawaida unaweza kulala Lock up.Kila kitu unaelezwa kwa ukali...
Kweli zama zinabadilika. Zamani nisipoingia jf hata kwa masaa manne tu nahisi nimepoteza kitu fulani muhimu. Sikuwahi kufikiri kama ningeweza kupita siku nzima bila kuingia jf. Ila ndo hivyo, leo...
Angalia wanavyofanana sana,
Katika kutoa insight ya makala ninayoandaa kuhusiana na kuku nitagusia hili swala ambalo limeshafanyiwa uchunguzi na wanasayasi wengine.
Ukimuona kuku ujue umemuona...
Uponyaji wa kiroho ni safari ya ndani inayolenga kurejesha amani ya moyo na uhusiano wako na Muumba au ulimwengu...
hatua ya kwanza na muhimu zaidi ni kusamehe.
Mambo muhimu ya kuzingatia...
Je kipaumbele chako kwenye ndoa ni tabia au sura? (Shape/mwonekano)?
Je kati ya sura na tabia ni kipi kinarekebishika?
Je utaoa mwenye tabia nzuri lakini shepu mbaya au utaoa mwenye sura nzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.