banned do
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 574
- 506
Ukichelewa kurudi nyumbani ni shida,ukiomba unyumba unapewa kwa manyanyaso.Ukikutwa unaongea na mwanamke mwingine hata kama ni mambo ya kawaida unaweza kulala Lock up.Kila kitu unaelezwa kwa ukali kama vile yeye ndio kidume.Na mengine kibao yasiyokuwa ya kistaarabu.Haya ni malalamiko ya jirani yangu ambaye amekuwa akiishi kwa mashaka na mkewe ambaye ni Askari polisi.Hivi ni kweli wanawake ambao wanafanya kazi hii huwa hawana huruma kwa wenzi wao?