JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Huu ni upumbavu Unakuja baa kwa ushamba wako unaagiza Absolute Vodka alafu unatoa chocolate ya 5000 na kumpa muhudumu. Muhudumu ambae kila mtu anamla kirahisi kama vile kula pipi ya kijiti ya...
2 Reactions
12 Replies
165 Views
Mzee? Maskini? Kwa kosa lipi hasa? Je tajiri naye huacha laana?
3 Reactions
12 Replies
162 Views
Bwana muheshimia mod wa JF almaarufu kama 255Fixer niko hapa velvet nusu kreti ni yako mkuu
5 Reactions
14 Replies
112 Views
Sasa ndugu yangu wewe ambaye kwa sasa huna hela maisha magumu au hela unayo lakini haikutoshelezi leo nataka nikupe mbinu moja mujarrabu kabisa ya kupata hela leo leo..! kwanza kabisa...
2 Reactions
9 Replies
167 Views
Just imagine 😭🙌
8 Reactions
39 Replies
531 Views
Ni lini mara yako ya mwisho kuambiwa na mpenzi wako nakupenda au ndo sisi tunaojitumia nakupenda sana mzigua_255 wangu? mimi binafsi natumai xjawahi kumambiwa nakupenda dah! HEBU........FUNGUKA?
1 Reactions
5 Replies
81 Views
Katika pita pita zangu mtandaoni, nikakutana na kijana anatafuta kazi. Nikamfanyia usaili kwa njia ya mawasiliano, ikaonekana nikimpachika sehemu fulani itakuwa si mbaya, ili yeye apate nami pia...
6 Reactions
80 Replies
554 Views
Tuanze na kumshukuru mungu kwa kutufanya sisi sote tuwazima, habari mabibi na mabwana, wanawake wa zamani; ukimtongoza basi hua alikua hakuangalii usoni na kama kucha mikononi zitaisha, na kama...
2 Reactions
13 Replies
164 Views
Hapa kitaa inafahamika kama;jeuri,kazi,mji,majito,kungi,kishari,ndege,hatari,shada,kiboko,zungu,maji,kinara,weusi
2 Reactions
2 Replies
56 Views
Kichwa kinajieleza ulimiliki geto lako ukiwa na miaka mingapi? binafsi nimemiliki geto langu nikiwa namiaka 12 tu mpaka sasa nina nyumba yangu vp wewe ulimiliki geto ukiwa na miaka mingapi...
0 Reactions
0 Replies
48 Views
Kuna vijimisemo vifupi vimeibuka huku kwenye mitandao kwa sasa, yaani ni burudani tupu. Ukivisoma mwisho lazima ubaki mdomo wazi au ucheke, baadhi ya niliyokutana nayo naweka hapa, pia karibuni...
324 Reactions
7K Replies
2M Views
Huu uzi ni maaluma kwa ajili ya kuweka vichekesho tufurahi wote 1 Kifo nini kifo ni pale unapomtumia text babaako mambo mrembo? 2 Leo nimekunywa sumu ya panya kumbe haina madhara yeyote ila...
1 Reactions
4 Replies
113 Views
Kwangu Mimi Hao ndiyo wadada ninaowakubali humu ww je?
4 Reactions
111 Replies
7K Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
31 Reactions
9K Replies
243K Views
Lengo langu limetimia kwa 99.99%. Je! Wewe?
2 Reactions
10 Replies
85 Views
Kuna IDs ambazo wakilianzisha kuna nyomi na vumbi linafuatilia. Kuna IDs hata wakianzisha misemo basi inaingia kwenye tamusi ya JF. Kuna IDs ambazo at least 80 ya wana JF wameweza ku-interact...
17 Reactions
136 Replies
1K Views
Hili ni swali la kawaida kabisa. Wakuu, Naomba kuuliza, mnivumilie jumamosi ya leo nina maswali ya kuwauliza kwa hio kila ninapouliza nijibiwe. Umewahi kufananishwa na mtu ambae haufanani nae...
3 Reactions
28 Replies
271 Views
Nime mscreen shot huyu hapa Kaniambia nimtumie details za akaunti zangu anitumie pesa nikamuangalie kombe la dunia Nimeshindwa kulala, natetemeka.😢
5 Reactions
16 Replies
174 Views
Back
Top Bottom