Wana Jf, Ni jambo zuri sana endapo kila mwana Jf atajitambulisha kabila lake hapa jamvini.
Swali: Nini Faida ya kutaja kabila lako hapa?
Jibu : Faida zake ni nyingi sana, nitakutajieni...
Habari za wakati huu.
Niko na swali Moja la kuuliza nahitaji msaada.Je hivi ni kweli Kuna baadhi ya watu Huwa hawaoti kabisa Yani hawapati ndoto?
Na kama ni kweli sababu ni nini? Nimejaribu...
Nimekaa sana Tabata barakuda Takribani miaka mi 5 ivi Ila nimehama mwaka jana mwanzoni Nimehamia GONGO LA MBOTO ila kwa sasa napaona Pachungu.
Chanzo cha kuhama tabata ni kukimbia bar na malaya...
Hey....my dear love..... Angel Nylon
you came into my life like a blessing you stay like a forever gift from god you loved me like everything like my everything and I loved you
I feel the...
Watz baadhi mnajiabisha kufwata fwata wasanii matakoni ni uboya ulivuka mipaka unaweza ukawa sehemu umetulia akapita msanii unashangaa watu wanamfwata mfwata kila anakoenda kubembeleza picha...
Nikianza na mimi... Nina asili ya Uarabuni ... Babu yangu mzaa Baba katoka Oman akaja Zanzibar then akazaliwa Baba yangu then Mimi... Sina nia mbaya ila tu nataka tujuane... Sorry no picture today!
As salaam alaikhum ndugu Wana familia wa JamiForums
Katika maisha Kuna visa vingi hutokea na kila mwanadamu huwa ana kisa au stori ambayo katika maisha yake au mazingira anayo ishi humtokea...
Nasikia alisitisha zoezi baada ya ule mti wake kukauka au kwisha,sasa ningependa kujua
1.bado tu haujaota tenaa??
2.Na saizi ana deal gani??
3.kuna mtu mwenye namba zake nataka anifundishe...
Mimi kwa sasa ni babu,mara nyingi hupenda kutembea kwa miguu,umbali mrefu,
Sasa njiani huwa nakutana na wanafunzi ambao hunifatilisha navyotembea huku wananiambia we babu shikamoo,basi naitika...
Katika maisha kuna muda akili zetu zinasahau vitu vidogo vidogo tunavyovijua ila baada ya dakika chache kumbukumbu hurudi.
Kuna stori moja nilishawahi kuisoma humu JF mtu mmoja alienda msituni...
Siku iko aje....
Kama kawaida jana jumapili nlitoka katika moja ya bar ya akina sisi wa hali ya kati nikiwa niko tungi kiasi. Kwa vile muda uliyoyoma nikaona nisepe mapema nikapumzike ile niupe...
Cross Examination Day;
Wakili:
Mhe. Mkuu wa Wilaya ijuze mahakama kiwango chako cha elimu.
Mkuu wa Wilaya:
Shahada
Wakili:
Ieleze mahakama majukumu yako kwa kifupi
Mkuu wa Wilaya:
Mwakilishi...
Nakumbuka tulikuwa high na ilikuwa inanyongwa nyingine, bapa moja chali na lilikuwa limeagizwa lingine na maji kubwa, na tukiwa high tunautazama ulimwengu kwa chini. Soga za hapa na pale ila hii...
Nazungumzia kama vile umegusa upupu au mmea au mdudu yeyote anayewasha halafu ukaamua kuwa katili kwa kutojiwasha. Nini kitakutokea?!!!
Karibuni kwa michango🙏🙏🙏
LEO natimiza post ya 1000 ndani ya jf kwa siku 58 tangu nimejiunga.
Najua ambavyo post zangu zo ni kichefuchefu kwa members wengi humu. Lakini mie ni kilaza najijua. So huwa naandika kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.