Watanzania wenye asili ya bara la Asia tujuane hapa!

Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
8,672
2,000
Baba wa bibi yangu alitoka Ethiopia alislimi akiwa Korogwe na kuoa binti wa kisambaa
Kumbe ndio maana mbishi mbishi kama waabeshi.

Hawakubali kuunga juhudi kirahisi tahisi tu hata kama midege ya Ethiopian Airways inaleta faida.

Si unaona majuzi wamemuuwa Jenerali mmoja.
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
44,698
2,000
Kumbe ndio maana mbishi mbishi kama waabeshi.

Hawakubali kuunga juhudi kirahisi tahisi tu hata kama midege ya Ethiopian Airways inaleta faida.

Si unaona majuzi wamemuuwa Jenerali mmoja.
Mkuu nisije nikahojiwa uraia wangu
 

Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
8,672
2,000
Mkuu inside nikahojiwa uraia wangu
Kwani unafikiri sisi sote wakitafuta asili ya babu wa bibi kuna raia wa TZ hapa?

Kelele zako wala sio hatari kwa nchi, usiogope mkuu.

Tatizo wale wa wenye plani za kumvuruga nambari wani.
 

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
9,099
2,000
Nikianza na mimi... Nina asili ya Uarabuni ... Babu yangu mzaa Baba katoka Oman akaja Zanzibar then akazaliwa Baba yangu then Mimi... Sina nia mbaya ila tu nataka tujuane... Sorry no picture today!
Mkuu upande wa mama vipi!?

Kuna Mbantu anywhere?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom