Habari wadau mko njema kabisa Natumaini wazima kabisa,
Basi Sasa kama kichwa cha Uzi kinavyosema naomba kujua utaratibu upoje wa kupata kisimbusi kipya yani kinga'muzi cha Startimes upoje, maana...
Habari wanaJF
Bila kupoteza muda hizi ndyo kazi ambazo sitamani kabisa mwanangu aje kuzifanya hata kama zina pesa nyingi.
1.Polisi
2.Barmaid
3.Muigizaji(Kwa mtoto wa Kike)
4.Secretary wa MaBoss...
Haya majina ni majina ya kiasili ya mikoa ya Nyanda za juu kusini.
1. Ang’ombwize
2. Alatuhiga
3. Atupele
4. Tulalumba
5. Mwadalihe
6. Ambwene
7. Anzawe
8. Chengula
9. Mgaya
10. Mbilinyi
11...
Naenda kushangaa mema ya nchi. Nimetoka Mtwara ( Tandhahimba) kwenye mnada wa korosho. Huko wadangaji sio hata watoto wa Mtwara. Ni mademu kutoka Dar halafu wengi wao hawataki hela. Wanataka...
Tupo katika kipindi ambacho wahitimu wa kidato cha sita wanatarajia kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini. Swali ni kwamba wanachuo watarajiwa wameandaliwa mazingira mazuri ya malazi...
Habari wa JF.
Kama title inavyojieleza hapo juu nahitaji chimbo ya jeans kkoo kwa bei ya jumla, kuna jamaa niliongea nae leo tuonane kkoo anipeleke matokeo yake hapokei simu ko nimeenda nimerudi...
Inasikitisha mwanamke wa sasaivi ana lalia shuka two weeks na haoni shida kabisa wakati kwa kawaida shuka linatakiwa libadirishwe ndani ya siku tatu kama hakujatokea maangamizi ya kitandani lakini...
Tujuzane mapema una hisia na mimi za kunyanduana au umetamani tu wallet yangu sema mapema.. nijue.
Unakuja na Shobo nyingii unaonesha unanitaka alafu kwenye mizagamuo unasema tufanye kidogo 😥
Ikiwa na nyuma na mbele ni sahihi kabisa! Lakini sio ndani na nje
Atakayeona ni nani Kama umegeuza? Kama ni mchumba wala Hana huo muda maana wakati huo wala akili yake haiwazi hayo.. ndio maana...
Am addicted to this superstitional entity called JamiiForums. I cant even rest for merely five minutes without my brain craving to it.
Even my other hobbies like dooking and hooking are melting...
Wakuu kwema?.
Naomba kuuliza mazee. Nimecheki Facebook nimeona VYUMBA vya kupanga maeneo ya KIMARA SUKA vinapositiwa bei rahisi alaf vizuri kinoma Kuna Nini huko. Mimi sijawahi kufika huko
Kati ya majina marefu ya kiasili niyajuayo ni haya:
Uvuvwevwevwe Onyetenyevwe Ugwemubwem Ossas toka Nigeria. na Andriantsimitoviaminandriandehibe, Andriantsimitoviaminandriandrazaka, na...
Jamani hili toto,mrembo wa JF,nimemmiss sana,hata awe na watoto 17 ila kama hana mtu nipo tayari kumvalisha pete la ndoa.
Akitoa chozi nimfute,nimkiss halafu nimtakie (nakupenda wewe peke yako).
Jamani nataka kuyaweka maisha yangu kizungu hasa kwenye upande wa chakula aya naombeni menu ya siku nzima.
Menu ya kizungu.mfano chips,mayai pembeni na waini ,aya menu nyingine ya kizungu jamani...
Habari wana JF
Natumaini tuna vipato tofauti tofauti humu ndani embu leo tupeane utaalamu kidogo wewe unaweza kusave kiasi gani kwa mwezi na ni asilimia ngapi ya kipato chako kwa mwezi hiyo ela...
Maana Kuna wengine muda huu saa 6 usiku ndo muda wao wa mapambano..kunakucha yaan👊
Tunaolala,basi na tulale salama.
Kazi njema wana JF
Usiku mwema wanaJF!🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.