Wakuu leo nitawapa siri nyepesi ya kutambua kama simu yako ni original au MCHINA yaani fake (feki!). Ni rahisi sana coz haihitaji uwe JF expert technician kufuata hatua hizi
1. Angalia...
Watu wengi wanaliwa sana maana wanataka kutajirika kwa pesa ndogo, yani MTU anaweka 500/ odds 300 hapo probability ya kushinda ni ndogo sana tajiri, Weka team zako chache tia mzigo wa kutosha...
Wananzengo hamjambo?
Humu kuna watu huwa wanakula panya, mbwa, punda, mende, mijusi, kenge na viumbe wengine wa ajabu ajabu.
Ebu tuambieni, mnavyokuwa mnawala huwa mnahisi ladha gani...
Kuna dogo mmoja alikuwa anatoka Mkoa anakuja Dar Es Salaam Sasa akamwambia konda.
Dogo: Konda tukifika Chalinze uniambie.
Konda: Sawa.
Gari likatembeaaaa sasa konda akasahau kumwambia dogo...
Tuwaombee waliotutangulia wapendwa wetu hatujui tuendako safari yetu ni moja kila mmoja hajui safari yake itaanza lini na akiwa wapi tuombe rehema kwa Mungu sisi ni wakosefu mda wote
Marehemu...
Wakuu habari.
Niko nasikilizia hapa radio Free!. Kuna kipindi Cha mganga anajinadi kuwa kama una tatizo lolote yeye atakusaidia kulitatua kwa kupiga namba ya sim Aliyoitoa.
Anasema kama unashida...
Kijana mmoja alikuwa mlevi sanaaa, hali hiyo ya ulevi ikawa imemchosha akaamua aende kanisani ili akaombewe aache pombe.
Alipofika kanisani akaona ni vyema akae viti vya mbele iwe rahisi kwake...
Leo asubuhi nilikuwa na safari fupi kutoka Kili kwenda A-Town. Nilipofika stendi niliingia kwenye coaster ambayo ilikuwa imeshajaza abiria tayari.
Hivyo konda akachombeza kimtindo hapo nikakaa...
Bujibuji Simba Nyamaume Mwalafyale wewe ni mwenye kiti wa mtaa, unapoondoka bila taarifa kero za mtaa wetu tuzipeleke kwa nani.
Nyamaume ulipita kwa kura zote japo kulikua na figisu lakini...
Kiukweli mimi nimekuwa mtu wa kuchukizwa na vitu vidogo vidogo sana kitu kama like za min -me na raraa reree zinanikera sana sijui kwanini unaweza kufungua kwenye timeline yako ya jamii forum...
Habari wakuu, nianze kwa kuwapa pole kwa janga la kariakoo ni janga zito sana Mungu awatie nguvu wahanga wote katika kipindi hiki kigumu.
Nirudi kwenye mada, wakuu siku zinakwenda spidi sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.