Mti wa babu wa loliondo bado hujastawi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mti wa babu wa loliondo bado hujastawi??

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Deejay nasmile, Mar 12, 2012.

 1. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,543
  Likes Received: 312
  Trophy Points: 180
  Nasikia alisitisha zoezi baada ya ule mti wake kukauka au kwisha,sasa ningependa kujua
  1.bado tu haujaota tenaa??
  2.Na saizi ana deal gani??
  3.kuna mtu mwenye namba zake nataka anifundishe ujasiri kama wake wa kuwaibia watu huku anasimamiwa na polisi
  4. nataka kujua wangapi walipata huduma yake humu jamvini????? {hahahahhaha najua swali hili hapa halina jibu}
   
 2. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,182
  Likes Received: 484
  Trophy Points: 180
  Naungana nawe kuwasubiri wanaojua waje kujibu!
   
 3. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ...aisee babu nuksi kwelkwel yule...
   
 4. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 492
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Yule babu namkubali, watanzania hawatamsahau yule babu.
   
 5. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,543
  Likes Received: 312
  Trophy Points: 180
  babu nasikia saizi ni kijana hivi ni kweli??
   
 6. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 27,678
  Likes Received: 2,765
  Trophy Points: 280
  babu ndiye msomi wa kweli kweli,
  nani msomi mwingine kama yeye. big up babu.
   
 7. la Jeneral

  la Jeneral JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  na wale wakina mama,bibi waliooteshwa wameishia wapi?kweli hizi siku za mwisho,napendekeza babu afungwe kwa kuuwa kwa kukusudia
   
 8. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 7,865
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Ina maana MUNGU mti wake anaoutegemea ili watu wapone,UMEKWISHA? Mzee wa LOLIONDO amemtukana Mungu na kumsindika kwa Uongo kama Baba yake Shetani alivyo.
   
Loading...