JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nitakuwa jijini dar kwa wiki 2 ,kuanzia disemba 1, kwa safari ya kibinafsi,ambae ni mwanachama wa jf na angependa tukutane ntafurahi sana. Wasalaam Fimboyaukwaju
7 Reactions
28 Replies
807 Views
Niko hapa kukusaidia kutengeneza programu bora kwa matumizi yako binafsi au ya kibiashara. Ninabuni websites na applications za kisasa kwa gharama nafuu na bei maelewano. Muda ni ndani ya siku 2...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
Nakutana na hilo neno saana... je wapopo ni watu gani haswaa na kwa nini wanaitwa wapopo??????
0 Reactions
55 Replies
8K Views
Robert Heriel Mtibeli you are just a key board warrior, a typing merchant🤣 Eti sijui taita wa fasihi, my foot Extrovert n fundi nyundo wa magari anajidai eti ana show room ya toyota🤣 adriz...
10 Reactions
125 Replies
3K Views
Picha za majengo na maeneo mbalimbali ya jiji la DAR ES SALAAM zikionesha mandhari ya usiku. DAR ES SALAAM ni ndogo, usiku hutanuka. Peleka utamu nyumbani
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Jana ndugu Shy land ameamua kumpa maua yake ndugu raraa reree Ila pia tusimsahau ndugu yetu mwingine min -me Hawa wote ni wazee wa support za likes bila kujali ni nani wala nani. Leo pia...
45 Reactions
96 Replies
2K Views
Habari za muda wana jamvi, leo nataka tufahamiane wana JF tunaotokea hapa Mwanza, unaeza uka comment mahali ulipo, lengo ni kufahamiana jamani, karibuniiii
4 Reactions
505 Replies
47K Views
Malaria 2" ni mmoja wa wanachama wa JamiiForums (JF). Kama ilivyo kwa wanachama wengine maarufu wa jukwaa hilo, mara nyingi jina lake linatajwa kwenye mijadala ya mtandaoni inayohusisha masuala ya...
6 Reactions
19 Replies
864 Views
Qn: Is this real or fake? Transcript Analysis: A Revealing Immigration Marriage Interview Below is an analysis of a transcribed immigration marriage interview, highlighting key moments and...
0 Reactions
0 Replies
367 Views
Wanabody hili ni wazo kwakuwa hili liliwai kufanyika miaka ya 2013-14 na liwa na mafanikio makubwa sana nakumbuka lilifanyika pale Kebby'es na nyingine ikafanyika Escape one. Namimi nikiwa moja...
53 Reactions
1K Replies
23K Views
Nawasalimia wanaJF kutoka Somalia, hakika Tembea uone. Tanzania kwetu kizuri, Huku mabomu yanauzwa sokoni kama viazi sokoni. Mungu ibarikia nchi yetu Tanzania.
12 Reactions
44 Replies
2K Views
4 Reactions
4 Replies
319 Views
Mother to Daughter. "Ndoa ni kuvumilia mwanangu ata si unaona sisi tulivumilia tukafika hapa" Daughter trying kuvumilia 👇
4 Reactions
8 Replies
435 Views
Hii ni fimbo ya ajabu,kwanza ndefu si ndefu,nene si nene,inachapa kwa mbele na kwa nyuma,na inatema balaa,ukiruhusu ikutemee ni lazima utavimba,na inapochapa ni lazima utalia kwa raha,na inachapa...
7 Reactions
66 Replies
2K Views
KATI ya miaka ya 1960 hadi 1980, mtu kuwa tajiri alionekana ni hatari kwa taifa, tena mali zake alizimiliki kwa kificho, vinginevyo angeitwa mhujumu uchumi. Lakini kwa sasa mambo yamebadilika...
3 Reactions
27 Replies
58K Views
Kuna hii situation baada ya kukosa kazi kila unaempigia simu kwaajiri ya msaada anakua hapokei simu kama vile wote wameambizana kutokukupokelea simu. Roho yangu ndo imeweza kufunguka na nimeweza...
3 Reactions
6 Replies
282 Views
Wazungu wanakitu kinaitwa intuition, ubonge ambao kila siku janabi anauponda leo umegeuka kuwa mokozi wa Yule bwana hii ndio maana ya za kuambiwa changanya na zako.
20 Reactions
60 Replies
2K Views
Ase ban inauma sana mod just help me
5 Reactions
67 Replies
3K Views
Tometoka mbali sana aiseee Nakumbuka nilivyokuwa sekondari ilikuwa nikifanya kosa sichapwi kijinga jinga! Nilikuwa najitetea kivyovyote vile nisiguswe hahaahaaaa. Walimu waligundua hiko kitu...
1 Reactions
8 Replies
475 Views
Back
Top Bottom