Aisee toka ni mdiskave huyu dada nimekuwa addicted to her songs....
Alaf shemeji yenyu yupo nje anafua nguo mm nafanya kaziii zangu online,
Alafu in the background zinapigwa ngoma za SZA Oyaa...
Kuna content creator yupo Facebook, Instagram na Youtube Kazi yake kubwa kuuliza wapita njia makazi yao na kodi wanazo lipa.
Jiji la New York mtu analipa usd 2500 alafu anaishi sehemu ya ovyo...
Nimefungua uzi huu mahususi kabisa kutokana na uchovu unaotupata kwenye mida flani hivi makazini. Mara nyingi ikiwa bado masaa mawili au moja kutoka.
Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane...
Nimeona matangazo mengi ya kuhitaji vijana kwa ajili ya kazi mbalimbali, mfano: kazi za masokoni, za majumbani, minadani, za kibiashara, kutembeza vyombo, nguo n.k, lakini waombaji hawaonekani...
Huyu MwanaJF yuko wapi ni muda sasa hajaonekana hapa jukwaani.
Nimeona reply yake ya mwisho ni mwezi wa tisa mwaka jana.
Kabla ya uchaguzi.
johnthebaptist
Kuna sehemu nimeona tangazo la kazi, na hakuna mtu aliyeomba; sasa najiuliza hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi?
Wanahitajika:-
Wachoma mahindi nafasi 2000
Watembeza kahawa maeneo...
Moja kwa moja...
Jf imekuwa tofauti na mitandaoni wengine watu wengi tunatumia majina na picha fake kama utambulisho wetu wachache sana wanaotumia utambulisho wao halisi , hali hii inaelekea...
Binadamu tuna ndoto, malengo na matamanio mengi kuhusu maisha Tunapanga kuwa na nyumba nzuri, gari, ardhi, biashara na mafanikio mengine mengi
Lakini umewahi kujiuliza kuhusu mwisho wa safari...
Baada ya juhudi zangu za kudate na Wema Sepetu kugonga mwamba NALIA NGWENA nimejikuta nimetumbukia kwenye wimbi zito (mahaba mazito) na mtoto wa Jamii forum Cute Wife nimeshikwa kweli kweli...
Ilikuwaje mpaka ukafikiria kulitumia hilo jina? What was the motive behind it?
Na je, kuna namna yoyote linaakisi maisha yako yalivyo, yalivyokuwa au yatakavyokuwa?
Mimi binafsi hili jina langu...
Nasikia Mbezi kuna sehemu inaitwa Msigani, Kwa God na Mbezi Luxury,
Kuna Kiwanja gani kingine maeneo ya Mbezi maana week kesho kutwa napata likizo ya kuwa Tanzania kwa miezi 2.
Tupeane...
Ilikuwa hivi; tuliamua tukae sehemu ili tubadilishane mawazo na kweli tulikuwa wengi tu na moja kati ya mada ambayo imenifanya niandike hili ni namna ya kufanikisha kimaisha.
Kuna mmoja kifedha...
Ni Toto moja la kimasai nimelipata sehem moja maeneo ya Kimara ,kwao geti kali sana,.juzi tukapanda pipa hadi arusha kwao then tukapanda Noah za namanga, tukafika mpakani wakasema lazima turudi...
Naona vijana mnajifanya mna vipaji.
Mnajifanya wachanaji.
Sasa nimewaita hapa mkutane na muuaji.
Awapelekee moto mshindwe hata kuomba maji.
Halafu kila mtu awe jaji.
secretarybird...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.