JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya facebook likiwa na nukuu ya kuwa rasis wa fifa gian infantinho ameta masa 72 kwa uongozi wa caf kujiuzulu Katika chapisho hilo ambalo limesambazwa kwenye mtandao huwa facebook lia nukuu ya ujumbe kama ufuatavyo” BREAKING NEWS Rais WA Mpira Duniani GIANNI INFONTINO amezungumzia Kuhusu Hilo sakata la KOMBE kupokonywa kutoka kwa Senegal ..Hii Itakua ni ajabu ya Mpira WA Africa na Itakua ni aibu kwa wadau WA soccer Africa Mshindi huwa Anapatikana uwanjani na si vinginevyo CAF ijitasimini kwa Haya maamuzi Ikitokea hvyo Nitaomba waliohuska Wajiuzuru Ili wapishe watu wanapenda haki Sawa NA AMEENDA MBALI SANA KWAKUSEMA .. Maamuzi Hayo yafutwe kwakua mshindi NI Senegal na...
Kumekuwepo na machapisho kadhaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, yakimuonesha aliyekuwa mgombea wa urais nchini Uganda, Bobi Wine, akidaiwa kukutana na Rais wa Marekani, Donald Trump. Hata hivyo, ukweli ni kwamba picha hizo zinazosambaa mitandaoni zimetengenezwa kwa kutumia teknolojia ya akili unde, na si halisi. Licha ya kwamba mgombea huyo wa urais alikimbilia Marekani baada ya kuhofia usalama wa maisha yake kufuatia matukio yaliyojitokeza wakati wa uchaguzi mkuu nchini Uganda, hakuna ushahidi unaothibitisha kuwa amekutana na Donald Trump kwa mazungumzo rasmi. Ufuatiliaji uliofanywa kupitia tovuti rasmi za Ikulu ya Marekani haujaonesha taarifa yoyote kuhusu mkutano kati ya viongozi hao wawili. taarifa hizo za kukutana...
There has been a post circulating on Facebook with the caption that Yariv Levin has taken over from Benjamin Netanyahu, who is the Prime Minister of Israel. The post was published with the following caption: "In a major political shift, Yariv Levin has been appointed as the interim Prime Minister of Israel, taking over the leadership role from Benjamin Netanyahu. This transition comes at a critical time for the nation as it navigates complex regional security challenges and internal legislative debates that could reshape the country's future." #Headlines360 #IsraelNews #YarivLevin #Netanyahu Through keyword searches on social media, there is no confirmation or official information suggesting that Yariv Levin has taken over from...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…