JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

Kumekuwepo na picha inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kuwa ni taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi. Picha hiyo inadai kuwa, kufuatia msiba wa mume wake, Mzee Hafidh Ameir Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahirisha mapumziko ya kifamilia na shughuli nyingine kwa muda wa siku 90 kuanzia Septemba 7, 2026. Taarifa hiyo pia inadai kuwa shughuli zote za Serikali zitasimamiwa na Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwa mujibu wa Katiba na sheria, huku ikieleza kuwa taarifa zaidi zitatolewa na mamlaka husika endapo zitahitajika.
Tunachokijua(What We know) Omukama Oyo Nyimba Kabamba Iguru Rukidi IV, the 13th King of Tooro and the world's youngest reigning monarch, died recently at age 34 after battling cancer, and his body was returned to Uganda for burial in early September 2026. The kingdom is currently in a period of national mourning and is also engulfed in a succession dispute over who will be the next Omukama a highly emotional and closely watched moment across Uganda and the region. Claim: A video/image circulating on X (Twitter), posted by user "Smart King Ak" (@smartkingak9), claims that heavy rains destroyed "Oyo Nyimba Kabamba plantation" in Kyegegwa, showing a banana plantation with flattened stalks and leaves strewn across a tiled courtyard...
Tunachokijua(What we know). Prince George Desmond Kamurasi is a 36-year-old member of Tooro Kingdom's royal family (the Babiito clan) who has lived most of his adult life in the United Kingdom. He is known in British non-league football circles as a goalkeeper, having played for clubs including Herne Bay, and was a longtime member of Sunday League side SE Dons. According a tweet by Andrew Mwenda the Royal Succession Committee of Tooro Kingdom selected Kamurasi on September 4, 2026, as the next King (Omukama) of Tooro, following the death of King Oyo Nyimba Kabamba Iguru Rukidi IV. Of the 21-member committee, 18 attended the vote and 15 backed Kamurasi. Reports emerged just a day later, on September 5, that Kamurasi may be rejecting...
There have been viral posts claiming that Botswana President Advocate Duma Boko has apologized to citizens who were unhappy with his decision to attend the inauguration of Zambian President Hakainde Hichilema. It further alleges that President Boko said his attendance was strictly aimed at maintaining diplomatic and regional relations, acknowledged concerns raised by some citizens, and expressed regret to those who felt disappointed. However, a review of available information found no credible evidence supporting the claim that President Boko issued such an apology. A search of official information published through Botswana government platforms did not reveal any statement, speech, press release, or other official communication in...
Tunachokijua Claim A video circulating on Tiktok claims to show opposition leader Bobi Wine visiting Tooro Kingdom following the death of King Oyo Nyimba Kabamba Iguru Rukidi IV, who died on August 27, 2026. The video is being shared as though the visit happened during the current mourning period. Watch: What We Found •After subjecting key frames to Google reverse Image search, we ascertained that The video is not from the current mourning period. It was posted on July 14, 2025, showing Bobi Wine and musician King Saha visiting Kigo Prison.Watch here. Watch original video: During the visit, Bobi Wine met inmates, including TikToker Madubarah and other detainees. The video has been reused and given new context to make it appear...
Kumekuwepo na video inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Instagram na Facebook, ikionyesha baadhi ya watu wakidaiwa kuandaa chapati kwa kutumia miguu. Katika video hiyo, watu hao wanaonekana wakikanda unga wa ngano kwa kutumia miguu yao. Moani ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii wamesema kuwa hivi sasa wamefikiwa kwa wale ambao hawapendi kupika huku wakihamasishab kupika Hata hivyo, kwa kutumia mbinu za ufuatiliaji na uchambuzi wa kidijitali, imebainika kuwa video hiyo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii imetengenezwa kwa kutumia teknolojia ya akili unde Katika mazingira ya kawaida , kukanda unga kwa kutumia miguu kunaweza kusababisha uharibifu wa chakula kutokana na uwezekano wa kuhamisha vijidudu kutoka...
Tunachokijua Claim A Tiktok Video claims that President Museveni, Minister of Health Dr Chris Baryomunsi and Permanent secretary Diana Atwine plan to poison water supplied to residents of Jinja North and frame MP Hussein “Swengere” Muyonjo, whom the video claims will first be arrested. Watch Video: What we know •After His Swearing in, Swengere unveiled a 92.000 litre water tanker truck in August to help residents facing water shortages.View here. • He unvelied the truck during His Thanksgiving ceremony on 9th August Where he invited Fellow MPs including those from the Ruling government and Officials from Busoga Kingdom where the Prime Minister(Katukiro) Dr.Joseph Muvawala was the Chief Guest. Watch Swengere' justification for the...
Kumekuwepo na chapisho linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii likiwa na nukuu inayodai kuwa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imeingia katika mazungumzo na Serikali kwa lengo la kuangalia namna ya kuanza mchakato wa maridhiano, hatua inayolenga kujenga Tanzania yenye umoja, mshikamano na nguvu kiuchumi. Katika chapisho hilo, inadaiwa kuwa uamuzi huo umefikiwa baada ya Kamati Kuu kujadili kwa kina umuhimu wa maridhiano katika kujenga taifa lenye umoja na mshikamano, pamoja na kuweka mazingira bora kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Kwa kutumia ufuatiliaji kwa njia ya mtandao, imebainika kuwa chapisho linalodai kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeanza mchakato wa maridhiano si la kweli, kwa...
Tunachokijua(What we Know) Uganda's Ministry of Education and Sports releases an official academic calendar each year, and any changes to term dates are communicated through official statements from the Permanent Secretary, not through unverified social media graphics. Uganda’s Ministry of Education and Sports officially set the Second Term holidays for primary and secondary schools in 2026 from Saturday, 22nd August to Sunday, 13th September 2026, with reopening on Monday, 14th September 2026. These dates were announced by the Permanent Secretary, Dr. Kedrace Turyagyenda, and apply to all government and private institutions Claim. A viral image/Video on tiktok styled as an NBS TV "Live" news broadcast, showing Ministry of Education...
Kumekuwepo na video iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kuonyesha raia wakimwagia maji magari ya polisi. Hata hivyo, kichwa cha habari kilichoambatanishwa na video hiyo kinapotosha uhalisia wa tukio. Baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii wameeleza kuwa video hiyo ilirekodiwa nchini Afrika Kusini na kwamba magari yanayoonekana kwenye video si ya polisi, bali ni sehemu ya tukio linalohusishwa na kuingia kwa msimu wa joto baada ya kumalizika kwa msimu wa baridi. Kwa mujibu wa madai hayo, baadhi ya raia humwagiana maji wakiwa barabarani kama sehemu ya utamaduni wa kusherehekea kuanza kwa msimu wa joto. Hivyo, tukio hilo si la raia kumwagia maji polisi kama ilivyoripotiwa awali. Sambamba na hilo baadhi ya kurasa...
A Tiktok Video posted by @fikmedia1 claims that there are plans to make a son allegedly fathered by Gen. Muhoozi Kainerugaba and singer Juliana Kanyomozi the next Omukama of Tooro Kingdom. Watch: What We Know: •There is no credible evidence that Muhoozi fathered Juliana Kanyomozi’s son. Juliana has repeatedly Denied the long-running rumours linking her child to Muhoozi and has maintained that her son’s father is a different person who prefers to remain private. •Following the death of King Oyo Nyimba Kabamba Iguru Rukidi IV , on 27th , August , Tooro Kingdom announced that the late king had left behind a Prince who would be unveiled at the appropriate time in accordance with Tooro customs. However, the identity of the reported heir...
Kumekuwa na madai yanayosambaa kuwa wanyama wa kufugwa kama paka na mbwa wanaweza kuwa na mzio (allergy) dhidi ya binadamu, hali inayodaiwa kusababishwa na mwili wa mnyama kuitikia kwa njia isiyo ya kawaida baadhi ya vitu vinavyopatikana kwa binadamu, kama vile chembechembe za ngozi, jasho au protini zinazotolewa na mwili. Inadaiwa kuwa hali hiyo inaweza kumfanya mnyama kuonyesha dalili mbalimbali anapokuwa karibu na binadamu.
Tunachokijua(What we Know). Prince David Kijanangoma, 47, is a member of the Tooro royal family and the son of the late Paul Kijanangoma, who was himself a son of George Edward Rukidi. He is the younger brother of Happy Kijanangoma, who was shot dead in Fort Portal town in 1995. Kijanangoma is known for speaking openly about issues within the kingdom, earning him a reputation as one of its more outspoken voices. Relatives describe him as a calm and reserved person, despite his public bluntness. In the early 1990s, he travelled to the United States for studies and work, where he served as publicity secretary of the Ugandan North American Association (UNAA). He was deported back to Uganda in 2007 after overstaying his visa, and went on...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imeahirisha kikao chake kilichokuwa kimepangwa kufanyika, kufuatia taarifa ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa chama hicho Ndugu John John Mnyika. Hatua hiyo imekuja wakati chama hicho kikikabiliwa na mabadiliko ndani ya uongozi wake, huku barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu ikitajwa kuwa sababu ya kuahirishwa kwa kikao hicho. Kikao cha Kamati Kuu kinatarajiwa kujadili hatua zinazofuata pamoja na masuala mbalimbali yanayohusu uongozi na mwenendo wa chama. Kwa sasa, macho ya wanachama na wadau wa siasa yanaelekezwa kwenye uamuzi wa chama kuhusu nafasi ya Katibu Mkuu na ratiba mpya ya kikao cha Kamati Kuu.
Tunachokijua(What We Know). Uganda's Chief of Defence Forces(CDF), Gen. Muhoozi Kainerugaba, has been engaged in a public feud since late August 2026 with his brother-in-law, Odrek Rwabwogo, over the Presidential Advisory Committee on Exports and Industrial Development (PACEID). Gen Muhoozi has made a series of real, verifiable posts on X threatening to arrest Rwabwogo and PACEID staff, including lines like "As Deputy Commander-in-Chief of the Armed Forces, I will arrest the criminal Odrek soon and bring peace to our people." The tension spiked when Matthew Bagonza, PACEID's head of secretariat and Rwabwogo's longtime personal assistant, was taken into custody by security operatives, with Muhoozi posting inflammatory remarks and...
Tunachokijua Claim A TikTok video by Ugandan @hondrtamale claims that socialite Christian Asiimwe, popularly known as Don Chris , committed suicide while in prison after being arrested. The video further claims that Don Chris left behind a note in which he cursed people he allegedly accused of always eating /taking his money. Watch: What We Know •Uganda Police confirmed that Asiimwe, a former director of the now-defunct Sky Pins labour recruitment agency, was arrested on August 27, 2026, over allegations of obtaining money by false pretences and fraudulent labour recruitment. •Police said he allegedly promised job seekers positions as caregivers, cleaners and waiters in countries including Canada, the UK, Dubai and Qatar. More...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…