Wakuu, Mbunge wa jimbo la Mtama Nape Nnauye hivi karibuni nimemsikia akisema akisema mwaka 2018 yeye na wabunge wenzake wa mikoa ya kusini walisimama kutetea zao la korosho bungeni, Pia akitaja mtu anayemuita mjomba pamoja na Lema na wenzake hawakuwa watetezi wa korosho na kwamba leo wakijifanya kutetea ni wanafiki. Anaongeza kwa kusema Mbunge pekee wa upinzani aliyekuwa mstari wa mbele kutetea Korosho alikuwa ni Zitto Kabwe pekee. JamiiCheck Uhalisia ni upi hapa?
https://youtu.be/GknHwbaoMdA?si=JeCDz52_jRGSSt_3&t=144