Huku kwetu kila kukicha deni linazidi kupaa na maisha kuzidi kuwa magumu. Na hapo tunajinasibu kuwa na amani na utulivu.
Burkina Faso mbali ya kuwa katika machafuko kwa muda mrefu, kwa miaka 2 tu Traore kaweza kulipa deni la taifa la Dola Bil. 4.
Halafu Tanzania Wasira anajisifu kuwa deni ni la enzi na enzi huku Bi. Mkubwa akijisifia kupokea 'vijisenti' vya mkopo ambavyo hata la maana hatulioni zaidi ya anasa za Mama hiki na Mama kile.
Millard Ayo hawezi kuripoti habari kama hii. Media za bongo kazi ni kusifia upumbavu tu.