Wakuu,
Kwenye pitapita zangu nimekutana na hii post uko mtandaoni, jamani kama hali yake ndo hii inasikitisha sana na inaumiza hatima ya madawa ya kulevya
Naomba mnisadie kutambua kama ndo hali aliyofikia kwa sasa, ili tujifunze jamani
Wakuu
====
Ni kweli? baada ya Rais Samia kushiriki kwenye uzinduzi wa mahema ya kanisa la Mwamposa Askofu Gwajima alitoa hii kauli inayosema "Mwamposa ni msaliti mimi nimefungiwa yeye anamkaribisha Rais kwenye uzinduzi wa mahema yake"
Naomba kufahamu ukweli wa jambo hili.
Salama wanajamvi?
JamiiCheck naomba msaada wa kupata uhalisia wa hili kwamba wapo funza wanaoweza kuishi kwenye sikio la binadamu, je, ni kweli? na kama ni kweli kuna madhara gani na tunaepukaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.