JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

Wakuu nimekutana na hii Post huko Facebook ikiwa na ujumbe huu pamoja na picha. Sasa mbona hii ajali hamtangazi na imetokea toka jana jioni! Tuseme mpaka sisi =AZYt0Ko_YeQABm-UfKFlVaJiSFfPv2-dz9JJOfvsFfiCdTxwxaG4sSc1JmEJIr7Rq-xAaPI4hZ4BvuAxeYlo01Z6HvXxSii3oY68FUnRQrBG8ot7pOiMtSjJdi9C_K1olnVWaTJgp0Z59fPZzX93h8H7ev0hCvsIMZc4fAzTZjjJCA&tn=*NK-R']#KigogoMedia tutangaze ndio nanyie mtatangaza?mtu kateuliwa juzi akaanza na kaul za kutisha watu sasa aendelee kutisha watu. Msipotangaza mpaka saa 7 mchana nitakuja hadharani na taarifa yote.
Kumekuwepo na video ambayo inasambaa kwenye mitandao wa facebook pamoja tiktok ikielezea kuhusu matumizi ya alama yenye nembo 50 na matumzi yake katika barabara. Kwa kutumia ufuatiliaji kupitia account rasmi ya RAS Tanzania (Taasisi ya Mabalozi wa Usalama Barabarani Tanzania (Tanzani Road Safety Ambassadors) inaelezea kuwa ni kwamba hapo ni miwsho wa spidi 50 kutoka hapo dereva anatakiwa kuongeza mwendo kadiri atakavyohitaji
Kumekuwa na video ambayo inasaambaa kwenye mitandao ya kijamii hasa facebook ikimuonesha aliyekuwa refree wa mchezo kati ya Morocco dhidi ya taifa stars akizungumza mara baada ya kutamatika kwa mchezo huo ambao ulisha kwa morocco kuondoka na ushindi wa goli moja kwa bila. Mchezo huo wa raundi ya kumi na sita 16 umechezeshwa na refree kutoka mali ambaye anaitwa Boubou Traoré
Kumekuwepo Na Chapisho Linalo Sambaa Kwenye Mitandao Ya Kijamii Hasa Facebook Likiwa Na Ujumbe Kwa Vyombo Vya Habari.Je Lina Ukweli Kiasi Gani? Hii Ni Nukuu Ya Ujumbe huo ""Baada yakuteuliwa kuwa waziri wa habari, Makonda kaja na Sheria mpya. Mtu yoyote ili aweze kutoa taarifa ya serikali ni lazima awe na leseni, kinyume Cha hapo unaenda segerea miezi 6 au faini ya milioni tano. "Ni Marufuku kuandika taarifa yoyote ya serikali kwenye mitandao wowote wakijamii au kuongea redioni bila leseni, ukifanya ivyo unakuwa umefanya kosa la jinai" ~Paul Makonda.
Back
Top Bottom