JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

Kuna huu uzi nimukutana nao umenikumbusha nilikua mdogo nilikua naambiwa sana stori za uwezo wa Kondoo kupambana na Radi, Hapa stephot kwenye uzi wake alisema "kuna kipindi nilipokuwa likizo nilitembelea mikoa ya Dodoma, Singida, Manyara na Arusha, nilichokigundua ni kuwa wafugaji karibu wote wa Ng'ombe wanakuwa na kundi la Kondoo, nilipouliza niliambiwa kuwa Kondoo wanasaidia kuzuia Radi. Mwenye ufahamu wa kina naomba anifafanulie utaalamu uliopo nyuma ya hii kitu" Sasa JamiiCheck mtusaidie kuna ukweli hapa?
Kwa kufuatilia press za Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche sijapata kusikia hii taarifa ya Heche kukiri kuwa kuna baadhi ya viongozi wa CHADEMA wanhusika kuchochea kufanya vurugu bali wakati wote CHADEMA na viongozi wake wamekuwa wahanga kwa kukanamizwa na Serikali ya Samia Kama ni kweli basi itakuwa ni kutaka kuchafua na kuharibu imani ya CHADEMA kwa wananchi, hao viongozi kama mnawatambua wafukuzeni
Back
Top Bottom