Wanayanga wenzangu, Huyu Fredrick Mwakalebela tumejipiga wenyewe

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,744
Makamu Mwenyekiti ZUZU. tena ni ZUZU MAJI KWELI KWELI. Ambaye anaamini na Sisi mashabiki wote ni ndugu zake. Yaani nasi ni Mazuzu Maji plus plus.

Nliwahi sema ni nani anamtumia Mwakalebela? Aaache kumdhalilisha basi. Maana sasa anaonekana ni Kubwa Jinga na Kubwa Jinga kweli kweli. Ile press aliyoitisha ni moja ya press za kipumbavu ambazo nmepata zishuhudia.

Tulitegemea angekuja na mikakati flani na kujipanga. Hamna kitu analeta upumbavu wake kujikosha kwa madhaifu ya team yetu
 
Hzi kelele zote, amesababisha kagera sugar
 
Kg 800 imecheua baada ya kunywa supu ya ngamia iliyochanganywa na utumbo wa chura pale pembeni ya kaunda stadium kwa mama kidimbwi...
 
Back
Top Bottom